Zoran Tosic hakuwahi hata kuchezeshwa kabisa sijui huyu.Daniel James karibu manchester united, kutoka kulipwa mshahara wa paundi 4000 kwa wiki hadi paundi 67000 kwa wiki kwa mujibu wa daily mail.
miezi minne iliopita leeds united inasemekana walitaka kumnunua kwa paundi millioni 1 lakini leo hii man utd wamemnunua kwa paundi millioni 18.
dakika moja tu inaweza kubadilisha mfumo mzima wa maisha yako, hatupaswi kukata tamaa ya kutafuta maisha.
tokea nishabikie mpira wa ukweli zoran tosic ndiye mchezaji pekee niliyewahi kumtabiria atafanya vizuri sana hatimaye ikawa kinyume chake, vipi wakuu niwatabirie future ya huyu bwana mdogo daniel james?
musiogope jamani sina uhusiano wowote na marehemu sheikh yahya hussein.
View attachment 1120846
Mimi nimeshangaa ukubwa wa pesa aliyonunuliwa huyu dogo pamoja na mshahara atakaolipwa tu.Daniel James karibu manchester united, kutoka kulipwa mshahara wa paundi 4000 kwa wiki hadi paundi 67000 kwa wiki kwa mujibu wa daily mail.
miezi minne iliopita leeds united inasemekana walitaka kumnunua kwa paundi millioni 1 lakini leo hii man utd wamemnunua kwa paundi millioni 18.
dakika moja tu inaweza kubadilisha mfumo mzima wa maisha yako, hatupaswi kukata tamaa ya kutafuta maisha.
tokea nishabikie mpira wa ukweli zoran tosic ndiye mchezaji pekee niliyewahi kumtabiria atafanya vizuri sana hatimaye ikawa kinyume chake, vipi wakuu niwatabirie future ya huyu bwana mdogo daniel james?
musiogope jamani sina uhusiano wowote na marehemu sheikh yahya hussein.
View attachment 1120846
alikuwa anapewa dakika chache sana ukilinganisha na wenzake kama danny welback, gibson kiukweli nilikuwa nachukia sana nyakati zile.Zoran Tosic hakuwahi hata kuchezeshwa kabisa sijui huyu.
hahahahaaa sasa uyo bwana mdogo akionyesha kiwango kikubwa mkataba wake mpya utafikia paundi 150000 kwa wiki.Mimi nimeshangaa ukubwa wa pesa aliyonunuliwa huyu dogo pamoja na mshahara atakaolipwa tu.
Kama Woodward amekosa business negotiators waniajiri hata mimi nina uzoefu wa kununua mitumba inayouzwa laki nainunua kwa buku tu
hahahahaaa sasa uyo bwana mdogo akionyesha kiwango kikubwa mkataba wake mpya utafikia paundi 150000 kwa wiki.
mshahara wake ulipaswa uwe paundi 35000 hadi 45000 kwa wiki.
kama wanataka kupandisha mishahara kwa nini wakamuondoa ander herrera?Yeah kuanza tu na 67000 au wanataka kupandisha wage structure ya team nzima ?
Au Woodward yuko desperate sana kumpata huyu dogo ?
kama wanataka kupandisha mishahara kwa nini wakamuondoa ander herrera?
nasubiria paundi laki 3 za marcus rashford miezi michache ijayo pamoja na paundi laki 4 za paul pogba.
Matt Judge utafikiri hajasomea mambo ya fedha.
View attachment 1120876
Hahahahahahahahah kwa majembe hayo tayari mmeshakuwa wapinzani wa Ubingwa msimu ujaoNew sanchez, at least sanchez he was playing in the premier league and not championship
View attachment 1120841
vipi kuhusiana na ashley youngHe is too old for the current football business
Hata ukimtabiria ni kazi bure Robertson ame develop Liverpool under one of the world top Manager (Jurgen Klopp) anayajua renowned developing good player to Great player..........Na huyo kocha wenu Mlugaluga nawaambieni mapema Christmas hamkuti OT.Daniel James karibu manchester united, kutoka kulipwa mshahara wa paundi 4000 kwa wiki hadi paundi 67000 kwa wiki kwa mujibu wa daily mail.
miezi minne iliopita leeds united inasemekana walitaka kumnunua kwa paundi millioni 1 lakini leo hii man utd wamemnunua kwa paundi millioni 18.
dakika moja tu inaweza kubadilisha mfumo mzima wa maisha yako, hatupaswi kukata tamaa ya kutafuta maisha.
tokea nishabikie mpira wa ukweli zoran tosic ndiye mchezaji pekee niliyewahi kumtabiria atafanya vizuri sana hatimaye ikawa kinyume chake, vipi wakuu niwatabirie future ya huyu bwana mdogo daniel james?
musiogope jamani sina uhusiano wowote na marehemu sheikh yahya hussein.
View attachment 1120846
Nafikiri hawataki kufanya overhaul kwa haraka sana ili wasije kujikuta wakiwa shimoni.vipi kuhusiana na ashley young
vipi kuhusiana na juan mata ambaye pia wanafanya naye mazungumzo ya kumpa kandarasi ya mwaka mmoja