Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
hahaha MKUU unautani na mos def
Yule anaandikaga vitu vimeshiba kweli!!Mosdef ni Wikipedia ndogo ya mpira yule jamaa, nikiona notification yake tu inabidi nikasome file aliloshusha.
Boss anataka wachezaji wanne tena atleast watatu toka Championship, Nina Mashaka sana
https://metro.co.uk/2019/05/24/ole-...ter-united-signings-by-start-of-july-9672425/
Mkuu kashindane na Mama Debora ndo saizi yako huku tuache kama tulivyoIvi humu waga mnakaa mnajadili nini na team lenu ilo bovu?
Yule anaandikaga vitu vimeshiba kweli!!
Ingetakiwa awe anashabikia Man u
Hlf kwa nn humuoni kweny thread kama hiz...nahic napita tu kusoma ila ha-comment!!Jamaa anafanya uchambuzi haachi kitu aisee, ukienda kijiweni ukatumia uchambuzi wa jamaa wanadhani wewe ni mtaalamu kabisa.
Hlf kwa nn humuoni kweny thread kama hiz...nahic napita tu kusoma ila ha-comment!!
kabisa jamaa ni motoMosdef ni Wikipedia ndogo ya mpira yule jamaa, nikiona notification yake tu inabidi nikasome file aliloshusha.
kabisa jamaa ni moto
tuongelee zaidi kuhusu Sane.Fikiria Sane na jesus wameondoka!!
hahahahaahaaaa anashika nafasi ya kwanza ndani ya JF.Nachoka pale unakuta ameandika gazeti, ukimaliza kusoma unatamani ineendelea.
Salamander nimeshamwonaga naye..wanafanana!!Anasoma tu, huwa hakoment kwingine.
Ni kama jamaa wa Madrid anaitwa Salamander, yeye ni kwenye uzi ile tu, tena siku ambayo kuna game akitoa updates.
hahahahaahaaaa anashika nafasi ya kwanza ndani ya JF.
anawazidi kwa mbali sana wachambuzi wa soka waliopo Tanzania.
ni tunu ya JF kwenye ulimwengu wa soka akifuatiwa na M-Mbabe naye yupo vizuri kwa mtazamo wangu.
Kuna timu ulaya zinamuona Lukaku ni potential sana!! Kuna cha ziada wanachoona atakitoa....ila united fans, wengi ni kati ya mchezaji wanayetaka aondoke hlf waunguze benk wabebe striker mwingn!! Lukaku kuna kocha wanamjulia, hata conte kama akienda juve amedai anamtaka lukakuInter Milan imesema ipo tayari kutoa pauni 30milioni pamoja na winga Ivan Perisic ili kuipata saini ya mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku.
Winga huyo wa Croatia, Perisic amekuwa akihusishwa muda mrefu kutakiwa na Manchester United, huku Lukaku akishindwa kuonyesha ubora wake chini ya kocha Ole Gunnar Solskjaer.
Kwa mujibu wa Gazzetta dello Sport la Italia, ambalo limesema kuwa Inter inamtaka Edin Dzeko kutoka AS Roma.
Lukaku amecheza mechi 45 za mashindano yote ndani ya Manchester United msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 15, huku klabu hiyo ikimaliza nafasi ya sita katika msimamo wa Ligi Kuu England.
Inter nayo ipo katika vita ya kuwania kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa kupitia Serie A.
Inter ipo nafasi ya nne ikiwa mbele kwa pointi moja kwa watani zao wa jadi AC Milan na mbili zaidi ya Roma huku kila timu ikiwa na mchezo moja mkononi.
biashara ya kipumbavu, kama united wamechoshwa na romelu lukaku wamuuze kwa hela iliokamilika na si kubadilishana na kizee perisic,Inter Milan imesema ipo tayari kutoa pauni 30milioni pamoja na winga Ivan Perisic ili kuipata saini ya mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku
Kuna timu ulaya zinamuona Lukaku ni potential sana!! Kuna cha ziada wanachoona atakitoa....ila united fans, wengi ni kati ya mchezaji wanayetaka aondoke hlf waunguze benk wabebe striker mwingn!! Lukaku kuna kocha wanamjulia, hata conte kama akienda juve amedai anamtaka lukaku
Anaweza akaenda!! Ila si kuna namna hawaelewan na ronaldo? Sidhn kama lile bifu lina-exist!Conte ni kama nimesikia anaenda Inter Milan.
Juve ni kazi ya Mourinho ile.
Lukaku ananunulika kwa kunganganiza sana mkuu!!biashara ya kipumbavu, kama united wamechoshwa na romelu lukaku wamuuze kwa hela iliokamilika na si kubadilishana na kizee perisic,
nyakati ambazo jose alimuhitaji perisic bwana ed woodward alikataa kumsajili kwa kisingizio cha dau kubwa
Anaweza akaenda!! Ila si kuna namna hawaelewan na ronaldo? Sidhn kama lile bifu lina-exist!
Mou saiv kabadlisha mawaz sana...anataka aweke mahitaji yake mezani, na klabu iseme kama wanaweza hlf ndy asain mkataba!!