Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona Evra ame trend! Kuna nini kuhusu Evra?
Niliona mahala akirusha madongo kwa Sanchez kuwa alifuata pesa united na si kweli kuwa anaipenda klabu tokea utotoni kama alivyowahi kujinasibu.
Pia alikuwa anaongelea issue ya pogba na shabiki akiwa upande wa pogba.
 
Kuna wachezaji kadhaa kila kona naona wanazungumziwa sana kwenda united
Bruno Fernandes
Adrien Rabiot
Joao Felix
Paulo Dybala
Diego Godin
Maguire
Sancho
Coutinho
Tielemans (wa king power stadium huyu)
Kwa rumazi zote hizo, hatutashangaaa tukatoka empty
 
Duniani kwa sasa kila mchezaji anahusishwa kujiunga na man united


Mawakala ni Wajanja Wameshaona hapo pana hela za kupiga na kuondoka zao!
Kwahiyo wanatumia Media Kuhype wachezaji wao ili muingie kichwakichwa wavute hela ndefu.
Si munakumbuka last season mulipotaka kupigwa kwa Harry Maguire wa Leicester City kwa £80m baada ya kupigiwa debe na Media?

Sasa hao madogo hao pameshategwa Mpunga hapo.
 
OGS anataka kumuacha Martial

Joel Glazer amemwambia huwezi kumuacha, huyo ndio Pele wetu


Hivyo ndio namna timu yetu inavyoendeshwa
 
Rabiot - ni Pogba mwingine

Dyabala - ni fedheha kuchukua reject wa timu nyingine, pia sio mpambanaji kiivyo

Joao Felix - tuna Angel Gomes

Sancho - tupo Europa, sijui kama atakubali
 
Rabiot - ni Pogba mwingine

Dyabala - ni fedheha kuchukua reject wa timu nyingine, pia sio mpambanaji kiivyo

Joao Felix - tuna Angel Gomes

Sancho - tupo Europa, sijui kama atakubali
Godin - mzee, kama tumataka kwenda m ele, hatumuhitaji

Coutinho - Barcelona reject, tutapigwa bei kubwa,
 
MOURINHO: UTD PROBLEMS STILL THERE
Jose Mourinho
says Manchester United's problems are down to "the players, organisation and ambition" and also denied Paul Pogbawas responsible for his dismissal.
Mourinho was sacked as United manager in December after overseeing the club's worst start to a campaign in 28 years.
But when asked if he was a victim of Pogba, Mourinho told French newspaper L'Equipe: "No, no. The problems are there, you can imagine that the problems are the players, the organisation and the ambition.
"I will only say that I cannot say 'yes' when you ask if Paul was the only one responsible."
 
Mkuu upo kichwani kwani hapo tukifanikiwa kuchukua wa 5 tutasumbua sana..... Imagine Fernandes, Pepe, Madison, Koulibaly, Wan Bissaka alafu ndidi anafunga kazi aiseh tutakuwa vzuri Sana........
 
Rabiot - ni Pogba mwingine

Dyabala - ni fedheha kuchukua reject wa timu nyingine, pia sio mpambanaji kiivyo

Joao Felix - tuna Angel Gomes

Sancho - tupo Europa, sijui kama atakubali

Usimfananishe Joao Felix ni huyo takataka wa Carrington.
 
Pia Kuna
Raul Jimenez
Diogo Jalota
Wazuri Sana.
 
View attachment 1096616View attachment 1096617View attachment 1096618
Ooh its not emptyhad any longer.
Yani average kuanzia 2013-2018 city ana attendance kubwa kumzidi liverpool na chelsea

Angalia hapo kwa miaka 5 iliyopita.
 
Tatizo la man utd linaanza na pogba halafu sosha na waingereza wake.
Yaani klabu yangu inatia huruma.
Mnamuonea sana Pogba,
Pogba kaja kipindi cha Mou, kaikuta man u imejifia ,inacheza europa,
Unasemaje tatzo la man u linaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…