Kuhusu Sporting Director
Muda wa majaribio umepita pale OT, tulipaswa kupata mtu ambaye ameshaifanya ile kazi kwa mafanikio
Tumeweka kocha ambaye bado hajawa proved kwenye highest level
Ghafla tunakuja kwa Sporting Director ambaye hajawahi kufanya hiyo kazi
Kama ni lazima kuajiri ma legend, ninaimani wapo wengi ambao angalau wamefanya kazi kama hizo mfano Van de Sar na wengine wengi
DoF ndio kila kitu kwenye mafanikio ya timu hiyo nafasi ni nyeti sana kwa mpira wa kisasa tusichukulieMpaka sasa hili suala limeshachosha ina maana man u wanatafuta mtu wa kuchukua hiyo nafasi Moja tu for three years ?
Of course badala ya kuifanya kuwa rumours tuDoF ndio kila kitu kwenye mafanikio ya timu hiyo nafasi ni nyeti sana kwa mpira wa kisasa tusichukulie
kuliko hiyo nafasi kubaki wazi next season bora akae huyo Rio
DoF ndio kila kitu kwenye mafanikio ya timu hiyo nafasi ni nyeti sana kwa mpira wa kisasa tusichukulie
kuliko hiyo nafasi kubaki wazi next season bora akae huyo Rio
mwaka ule tulivyomaliza kucheza fainali ya Europa, United ilianza mazungumzo ya kumchukua Van Der Sar kuwa DoF wakati huo yeye alikuwa ktk nafasi kama hiyo pale Ajax, sijui hata waliishia wapi mpaka leo, kwahiyo mkuu tukisema swala la muda fikiria kutokea 2016 mpaka leo 2019 hakuna hata kopi yake ktk hiyo nafasi.Kuna mtazamo mwingine pia
Sporting Director ni muhimu kwenye ku suggest transfer strategies za klabu, ku identify targets, kufanya mazungumzo, kisha kusainisha wachezaji
Kwa kuwa kati ya hayo ni moja tu limebaki na nafasi ya Sporting Director sio ya kuweka ili mradi mtu inapaswa kujipa muda ili kuja kupata mtu sahihi
Kiufupi, mengi kati ya ambayo ma Sporting Director kwenye timu nyingine wameyafanya waliyaanza kuyashughulikia Oktoba Desemba 2018
Mkuu upo sahihi kuhusu kuchelewa, tumechelewa sana kupata huyo mtumwaka ule tulivyomaliza kucheza fainali ya Europa, United ilianza mazungumzo ya kumchukua Van Der Sar kuwa DoF wakati huo yeye alikuwa ktk nafasi kama hiyo pale Ajax, sijui hata waliishia wapi mpaka leo, kwahiyo mkuu tukisema swala la muda fikiria kutokea 2016 mpaka leo 2019 hakuna hata kopi yake ktk hiyo nafasi.
kiufupi United imewekeza nje ya uwanja na haya ndiyo matokeo yake, siku zote muda huongea ndo kama hivi sasa.
tena hapo, hao mabosi wameshtuka baada ya kelele za mashabiki kuongezeka.
wakati huo huo ED ameongea na Schemichel, Scholes, Fletcher na Rio katika nafasi hiyoMkuu upo sahihi kuhusu kuchelewa, tumechelewa sana kupata huyo mtu
Mpaka kuna wakati nahisi labda Ed anaogopa tukipata Sporting Director atapungukiwa power ndani ya klabu ndio maana hataki/anachelewesha mchakato
Mimi Mkuu nipo upande wa bora tuchelewe lakini tupate Sporting Director aliyekwisha fanya kazi hiyo kwa mafanikio, kuliko kwa kuwa tumechelewa tuendelee kupata watu wa majaribio
Tupo kwenye majaribio na OGS, kwanini tuingie tena kwenye majaribio kwenye nafasi nyeti kama ya Sporting Director ili hali kwa sasa bado tuna muda?
Mfano Van De Sar hivi karibuni aliulizwa kuhusu kazi hiyo pale United, akasema United ni family club na hafungi milango siku moja kuja kufanya kazi hapo United, lakini kwa sasa ana focus kwenye safari ya Champion League na Ajax. Je hatuwezi kusubiri Ligi yao iishe na safari yao ya Champion League iishe tumchukue yeye?
Tofauti ya Barcelona na timu zingine ni kwamba Barcelona ina Messi. Poleni sana Liverpool.
Mou alikataa kuwa na mtu mwenye role ya DoFmwaka ule tulivyomaliza kucheza fainali ya Europa, United ilianza mazungumzo ya kumchukua Van Der Sar kuwa DoF wakati huo yeye alikuwa ktk nafasi kama hiyo pale Ajax, sijui hata waliishia wapi mpaka leo, kwahiyo mkuu tukisema swala la muda fikiria kutokea 2016 mpaka leo 2019 hakuna hata kopi yake ktk hiyo nafasi.
kiufupi United imewekeza nje ya uwanja na haya ndiyo matokeo yake, siku zote muda huongea ndo kama hivi sasa.
tena hapo, hao mabosi wameshtuka baada ya kelele za mashabiki kuongezeka.
Uzi gani wa barca au liverpool.Two years from now, hata uzi wao utakufa
Don't tell me, I did not say so
Wa Barca MkuuUzi gani wa barca au liverpool.
Ni kweli Messi akiondoka fans watapungua.Wa Barca Mkuu
Unaweza ukawa na DoF lakini hasikilizwi.Mkuu upo sahihi kuhusu kuchelewa, tumechelewa sana kupata huyo mtu
Mpaka kuna wakati nahisi labda Ed anaogopa tukipata Sporting Director atapungukiwa power ndani ya klabu ndio maana hataki/anachelewesha mchakato
Mimi Mkuu nipo upande wa bora tuchelewe lakini tupate Sporting Director aliyekwisha fanya kazi hiyo kwa mafanikio, kuliko kwa kuwa tumechelewa tuendelee kupata watu wa majaribio
Tupo kwenye majaribio na OGS, kwanini tuingie tena kwenye majaribio kwenye nafasi nyeti kama ya Sporting Director ili hali kwa sasa bado tuna muda?
Mfano Van De Sar hivi karibuni aliulizwa kuhusu kazi hiyo pale United, akasema United ni family club na hafungi milango siku moja kuja kufanya kazi hapo United, lakini kwa sasa ana focus kwenye safari ya Champion League na Ajax. Je hatuwezi kusubiri Ligi yao iishe na safari yao ya Champion League iishe tumchukue yeye?
Juzi juzi nilisoma sehemu, wanasema Ed anataka aajiri Sporting Director ambaye anaweza kum control, inawezekana hii pia ni sababu ya kumtaka mtu kama Rio.
Ninachoamini, hata tukipata Sporting Director leo, inputs zake kwenye usajili itakuwa ni almost 0% kwenye usajili wa summer hii. Watakaosajiliwa summer hii kwa asilimia kubwa itakuwa ni kazi ya OGS na Phelan na Recruitment Department
Mpira hachez huyo Rodger,