Hahahhahahahahhahahahhahahhahaha.
Kwa hiyo man u wamewaachia mzigo Liverpool [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The king off derbyYaani kwamba leo Man Utd anaongoza ball position mbele ya City..!?
Kweli nakosa kushuhudia maajabu..!
Mkuu hivi huonagi tu shida zake???????Sijui Martial alikukosea nini.
Amevurugwa leo . Arsenal wametom..a 3. Shenzi hawa arsenal . Piga mbwa haoooooAroon asenal vip huko[emoji1]
Sijui hata nitoe wishes za namna gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]