Mkuu Tunaenda kudhalilika pale OT
Mkuu Tunaenda kudhalilika pale OT
Sanaaa..leo tuko vizuri na Shaw amerudi. Hakuna mechi anaweza kuanza Martial ukashinda. Kosa moja kubwa la kocha hapa asipokuwepo Lukaku uwepo wa Pogba,Shaw,Young hauna maana sana hawa wanapeleka mipira sana mbele, Pogba na Young huwa wanadondosha pale kwenye boksi, kama hakuna mtu kama Lukaku lile li-Company litaenjoy sana pale kati. Unajua mpira wowote wa juu Lukaku lazima augusena kichwa chake. Leo tunataka Rashford na Lingard ndio wapige vichwa[emoji2955]
Tunawapeleka sana...leo MARTIAL hayupo vijana wanajituma sanaa.
Yaani kwamba leo Man Utd anaongoza ball position mbele ya City..!?Tunawapeleka sana...leo MARTIAL hayupo vijana wanajituma sanaa.
Sijui Martial alikukosea nini.Tunawapeleka sana...leo MARTIAL hayupo vijana wanajituma sanaa.