Mkuu mzima lakini,mda kidogo naona,naona majirani zetu leo wataamini kwamba pesa ni nothin kwenye mpira,alafu mzee alishawaambia toka waanza kwamba kuwa na hela na kununua wachezaji wazuri sio kushinda kila kitu
dah...yaani manu naichukia kupita ccm lakini nawakubali sana wakishakaa kileleni,huwa hawafanyi makosa ...pressure kubwa sana iko kwa mancini na kuna kila dalili j'pili ijayo atachezea kichapo kwa arsenal au kuambulia draw tu...!