Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,146
- 54,307
Mtajua na mtaelewa MOU alikuwa anamaanisha nini alipokuwa akisema man u hamna wachezaji wa maana
Watani mnatuangusha!
Bila champions league football mtakuwa na wakati mgumu sana kuaattract top talent during the summer
All in all, a club of Man U pedigree should not play FUTUHI
Cheki hii.Hahaaaaa kwann mkuu
Wachezaji wanazinguaTatizo mnaongea sanaaa...
Mashabiki wenzangu wa united tuache kujipa sifa za kipuuzi kikosi chetuWachezaji wanazingua
Sio kawaida hii!! Wachezaji hawamtaki kocha itakua.
Wakirudisha haya magoli natapika wali wote nilokula leo