Ha ha ha ha We jamaa Martial angekuwa bongo ningesema mmechukuliana wanawake. N way dogo hata mie Mara nyingi ananikera,anashindwa kujituma ili kipaji chake kiwe halisi. Angalia mechi kaka tutashinda na anaweza akawa chachu leoDalot! Martial! Hawa ndio wachezaji watakaomng'oa OGS Old Traford. Yaanni Martial anamuweka nje Mata! Sijisumbui kuangalia hii mechi. Ngoja nipeleke watoto beach. Pumbaf.
Dalot! Martial! Hawa ndio wachezaji watakaomng'oa OGS Old Traford. Yaanni Martial anamuweka nje Mata! Sijisumbui kuangalia hii mechi. Ngoja nipeleke watoto beach. Pumbaf.
Everton wanachez open football, Martial anaweza kung'araHa ha ha ha We jamaa Martial angekuwa bongo ningesema mmechukuliana wanawake. N way dogo hata mie Mara nyingi ananikera,anashindwa kujituma ili kipaji chake kiwe halisi. Angalia mechi kaka tutashinda na anaweza akawa chachu leo
Mkuu nakereka sana kale kajamaa kanaitwa AARON katakuja muda sio mrefu hapa..Mkuu nenda beach, tutakupa matokeo
Au yakiwa mabovu, Ollachuga atakupatia
Mkuu nakereka sana kale kajamaa kanaitwa AARON katakuja muda sio mrefu hapa..
Young aingie mapema..hakuna mtu wa kuisimamia timu(captain) hakuna mtu wa kuwagombeza wachezaji.
Ningekuwa Nina dhamana kubwa ndani ya Man U ningehakikisha Leo tunampiga Everton kwa namna yoyote halafu ningepumzisha baadhi ya wachezaji muhimu kwenye game ya Man City hata tukifungwa poa tu kisha ningefunga kikosi kamili dhidi ya Chelsea na walobaki tufie uwanjani.
Mmetundikwa chingine nini au kale kale?Siamini kinachoendelea
Ndiyo maana huna hiyo dhamana, leo mnapigwa, halafu tuone game ya CITY mtapenda kupigwa tena?
Halafu OT! Acheni kuidhalilisha OT nyie jamaa.
'The manchester united way' inawatesa sana. Solskljaer inatakiwa aje na identity yake sio kulazimisha identity ya Sir. FERGIE. Ingawa Mourinho na falsafa yake ilibugi lakini angalau alijaribu kuja na staili nyingine. Kitakachomfukuzisha kazi Solskjaer ni kutaka kuchezesha Manu kama ile ya Fergie, mambo yamebadilika.Dalot! Martial! Hawa ndio wachezaji watakaomng'oa OGS Old Traford. Yaanni Martial anamuweka nje Mata! Sijisumbui kuangalia hii mechi. Ngoja nipeleke watoto beach. Pumbaf.
Game wanayocheza lazima watupige nyingi 2 tayariMmetundikwa chingine nini au kale kale?
Virus Reborn auu?
Kuweka kumbukumbu sawaMechi ya kesho mnatoka draw na everton.
Jumatano mtampiga Man city 3-1, alaf mechi ya chelsea mtapoteza 1-0.
Nipigwe mawe yasipoteka haya matokeo.