Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Influence ya SAF nshaanza kuiona.
 
waleteeeeee waleeteeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app


Hahaaaaa Ole sendeka alienda camp nou kuwasoma Barca, kapoteza nauli yake hela ya gesti na chakula na bado akaambulia kipigo 🤣🤣🤣


Inshort Hakuna timu ama kocha anaeweza kuusoma mchezo wa Barcelona ikiwa Messi yumo uwanjani...utaweza kuisoma Barca ama falsafa ya kocha wa Barca ikiwa Messi hayumo uwanjani kwa maana Messi ndie anaebadilisha mchezo na ndie anaecontrol timu yake na timu pinzani...na muogope sana mchezaji anaeweza kuicontrol presha ya timu yake na presha ya timu pinzani

cc; Mc cane
 
Mkuu, japokuwa team ina average player. Uamuzi wa kumfukuza Mou ulikuwa sahihi kabisa alileta mpasuko mkubwa sana ndan ya klabu, kiufupi alishafail.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa soka la sasa hvi nguvu ya kocha huwa ni huwa ni miaka mitatu tuu, baada ya hapo ili kocha afanye vzur anatakiwa kuondoa kuanzia wachezaji wa nne wa kikosi cha kwanza na kuleta wapya....hii hali ilikuwepo sana kipind cha Ferguson , akina Beckham , Ronaldo, Tevez, nk wote waliuzwa walipoanza kuonyesha makucha, kocha alikuwa na nguvu..sio sasa hv wachezaji ndo wana nguvu, bodi ya Manchester haikuwa tayar kumpa ushirikiano mourinho , hawakumkubali tokea mwanzo....
walimpa kazi kama geresha tuuu...in short wamemfanyia unafiki sana, ni kama tu alivyoikuta Chelsea Mara ya pili ( kuna wachezaji Mungu mtu) ukimueleza madhaifu yake ananuna, ukimweleza anatakiwa acheze hv anakwambia Mimi huwa nacheza hv...
Hata Guardiola na klopp bila support ya bodi wangekuwa hawapo, waliingia kwenye matatizo makubwa na wachezaji , lakn bodies iliruhusu wakauzwa ili kumpa nguvu kocha....
 
Martial analipwa £200k kwa wiki alafu Son anapata £140k tena hapo ndo kaboreshewa.

Eriksen analipwa £75k huku Dele Ali akipata £55k kwa wiki wakati Jesse Lingard anapewa £100k pale United huu ni upumbavu.

Kieran Trippier £44k alaf Ashley Young £110k wakati huo huo Criss Smalling anakula £120+ kule Jan Vertonghen anapewa £100k. Bila kusahau Phil Jones £100k alaf jembe Toby Alderweireld anakunja £80k.

United inatia hasira sana alaf hao wachezaji wanaolipwa mishahara hyo wakiwa hawastahili wanavimba hao utafikiri wanajua mpira wenyewe
 
Kazi kweli kweli.
 
Kuna swaiba wangu humu kitambo simuoni, kama upo jitokeze ndugu yangu...nimekumiss sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…