Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Mzee ndio maana nakwambia mendy humjui jamaa anapiga kross nyingi na za maana na ni very dangerous sijui nikueleze vip uweze kunielewa tatizo msimu huu kaumia mapema sana so itakuwa hujamfatilia.

Pia kusema ubora wa mendy unchangiwa na style of play ya mancity sio kweli kwa sababu mendy alikuwa bora kuliko ksbla hata hajaja mancity unataka kuniambia huko alikotoka walichexa sawa kama mancity wanavyocheza?? Pia mbona huyo fabian delph hamimini majalo na kuasists kama mendy ilihali wanachexa no moja???

Katika wapika mabao wa mancity huwezi kumuona mendy kwa sababu ni majeruhi !!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi ndugu zangu mashabiki wenzangu wa man u ashley young mnamuonsje?? Mimi sina imani nae tena hashindwi kutoa penati au kula ata umeme daaah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dah.... Kuna watu wamenichekesha sana humu

Eti kocha apumzishe wachezaji kwa ajili ya top 4 race, dhidi ya Everton

Wachezaji wanaishi maisha yao ili siku moja waje wacheze dhidi ya Man Utd, Real Madrid, Barca n.k. Halafu leo unasema kocha awapumzishe

Yaani kocha awapumzishe wachezaji, ili waende kucheza mechi ya ligi, ili wakishinda waende kucheza kwenye hayo mashindano wanayopumzishwa!!!! Sijui hapa nimeeleweka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…