Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,012
Marital is boring watching playing toto dogo vivu kama niniJ4 sanchez aanze LW, badala ya huyo mvivu.
Sent using simu mbovu
Pengine Kwasababu Mimi si Mshabiki wa Man United, Lakini ukaniambia nichague Mchezaji yoyote Man United ahamie Liverpool basi Nitamchagua Martial.
Ukweli usiofichika ni kwamba Martial ni miongoni mwa very few talented boys waliopo EPL.
Inawezekana OGS hajajua kumtumia tu.
Hata sisi tunajua hilo mkuu,ila kipaji pekee bila kujituma si kitu.
Messi ana kipaji lakini anajituma sio mvivu.
McTominay kwangu mimi ni bora kuliko uyo rice, lkn kwa kua ni mwingereza watamnunua tena kwa garama kubwa tu thn ajabu atakuja kumpigisha McTominay bench. Uyu dogo McTominay ameshajiprove ni bs tu.Kuna muda unahitaji u-contain pressure ya mchezo, wewe kama mido wa chini ndo unaiona timu yote, mpira unaupeleka wapi ili tufunge, wapi ili tuanze shambulizi,
Aiseeee, kuna sababu hadi leo hii bastian shweisteiger aliitwa midfield general,
Mido sio tackling tuuu kila saaa,
sasa umeshaongoza mmoja, alafu watu wanakuja kama nyuki, unalinda vipi matokeo?? kwa kufanya tackling pekee??
Si utakula umeme chap, lazima ucontrol tempo ya mchezo, game inazidi speed na mnataka muende slow, mido wa chini ndo anaepooza game, au kuiharakisha,
Rice is far from being a great mid, heri mctominay analeta matumaini....Kwangu Mimi Declan Rice Sio chaguo Sahihi kwa Man United kwasasa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine Kwasababu Mimi si Mshabiki wa Man United, Lakini ukaniambia nichague Mchezaji yoyote Man United ahamie Liverpool basi Nitamchagua Martial.
Ukweli usiofichika ni kwamba Martial ni miongoni mwa very few talented boys waliopo EPL.
Inawezekana OGS hajajua kumtumia tu.
Yaani we jamaa
Mchukueni, dogo mvivu na mtoto wa mama.Pengine Kwasababu Mimi si Mshabiki wa Man United, Lakini ukaniambia nichague Mchezaji yoyote Man United ahamie Liverpool basi Nitamchagua Martial.
Ukweli usiofichika ni kwamba Martial ni miongoni mwa very few talented boys waliopo EPL.
Inawezekana OGS hajajua kumtumia tu.
Hata kipaji so kivile. Mtu mwenye kipaji pekee na ni mvivu pale OT ni Paulo. Hakuna kiungo duniani level ya Pogba. Tatizo ni mvivu na nyodo nyingiHata sisi tunajua hilo mkuu,ila kipaji pekee bila kujituma si kitu.
Messi ana kipaji lakini anajituma sio mvivu.
Sasa hilo ni kosa la Kocha kwasababu ndiye anayehusika na Management ya Wachezajazi.
Kocha anatakiwa am-manage vizuri katika mazoezi ili aweze kujituma! Mtazame PEP alivyommanage Sterling mpaka kuwa Main man wake.
Naona umeanza kumkubali Klop, ana manage vizuri akina Hendo enhee...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsix anawanyoosha tonightMkuu nawewe umeshaanza kuvuta Bange/Ganja/Bomu/Mbayaya/Mchicha/Marijuana/Cannabis/Banka?
Hahahahahahahahah tayari ameshatunyoosha Mkuu
Tena akikutana yule ngedere Lingard, kama uwanjani kugekuwa na miti wangekuwa wanakweaHata kipaji so kivile. Mtu mwenye kipaji pekee na ni mvivu pale OT ni Paulo. Hakuna kiungo duniani level ya Pogba. Tatizo ni mvivu na nyodo nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naendelea, sijaanzaMkuu nawewe umeshaanza kuvuta Bange/Ganja/Bomu/Mbayaya/Mchicha/Marijuana/Cannabis/Banka?