Haha ntainunua mwenyew kesho mkuu kama mambo yataenda kombo
Man u siyo team kubwa kwa sasa. Tunabebwa na historia tu.
unawezakuwa sahihi ama usiwe sahihiMimi ni Mmoja Katika Wanaoamini Kuwa Man United Wamekosea Kumpa Mkataba OGS
OGS alishafeli tokea alipokuwa akiifundisha Cardiff City.
Nilichogundua Mimi ni kuwa Baada ya Kutimuliwa Mourinho Man United ilishinda mgululizo si kwasababu OGS alikuwa kocha Mzuri! Bali walishinda kwa wachezaji kukazania Kumprove Wrong Mourinho tu.
Baada ya visasi vyao kuisha na ari ya kumprove wrong Mourinho kuisha hatimae wamerudi palepale alipowaacha Mourinho.
DuhHaha ntainunua mwenyew kesho mkuu kama mambo yataenda kombo
13SEPTEMBER
Timu kubwa SIJAKOSEA.Tofautisha kati ya timu kubwa na timu bora.
Nina imani ulikua unamaanisha timu bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi sijakuelewa mantiki yake kabisa. Alafu anabaki Martial, Lingard
Sent using Jamii Forums mobile app
Fred kawa mchezaji...
Fred sijui amelishwa nini,anafanya kazi kubwa sana. Anasambaza mipira inafika kwa uhakika kabisa. Anacheza vizuri mno.
Lingard alikua anazurura tu eti ndo kabaki, ingawa huwa simuelewi lukaku lakini OGS anazingua sana sub zake leo luka kapiga kazi kubwa na krosi nyingi sana lingz anazunguka tu.√Fred ananipa matumaini..ni mchezaji pekee anayefanya atleast majukumu yake perfectly kwa sehemu kubwa kwa kipindi hiki..akiacha ile ball giveaway ambayo anaitoa moja kila mechi basi ile nafasi ni yake..Very Promising
√Ni wazi Ole hampendi Lukaku,na kwa minajili hiyo ni bora amweke sokoni mapema ili alete ambao yeye anawataka au awapange vizuri anaowataka..
-That big man did great work lakini hathaminiki hata kidogo
-Lukaku anaweza akawa sio world class,lakini kwa ubovu wa timu yetu sio wakuzidiwa na Lingard na Martial na hata Rashford kwenye priorities
√Next stop ni Nou camp..let's support our club
Nakubaliana na ww timu mbovu snaTimu mbovu hii japo mmeshinda
Uchovu wa kufungwa na Barcelona?Tatu za mbinde nadhani uchovu pia umechangia
TWO shoot on target from an open play in the last 180 minutes of football.
Is this man utd way you all were singing about?
Sent using Jamii Forums mobile app