Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Lukaku hapaswi kuwekwa benchi na mchezaji yeyote pale OT. Huyu jamaa timu iki-balance, ni bonge la centre forwardLukaku hawamtendei haki cross zake
Lukaku hapaswi kuwekwa benchi na mchezaji yeyote pale OT. Huyu jamaa timu iki-balance, ni bonge la centre forward
Sent using Jamii Forums mobile app
Lukaku hapaswi kuwekwa benchi na mchezaji yeyote pale OT. Huyu jamaa timu iki-balance, ni bonge la centre forward
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa uwezo wangu mdogo niliyonao kila camera inapoenda ndiyo na mimi nafatisha kwa dakika hizi 45 za kwanza sijaona hasa alichomshinda McTominay labda Solskjaer ameona zaidiWakuu mliobahatika check game.... Mwishobwa game nje mtupe update za bwana Wali (Declan Rice) hiyo holding midfielder inayocheza alone dimba la chini LA West Ham
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkibondwa nitafurahi sanaTunaitaji maajabu
Mkibondwa nitafurahi sana
Leo siangalii mpira utanipa matokeo
Yohana 3:16
Najua mpo home mnaweza kushindaAhahah!! United anaeza shinda ila kwa kujikakamua sana