Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hii thread yako kapeleke jukwaa la mapishi kule watakuelewa
 
Nakuunga mkono! Naiona Man U ikiwapiga kina Mess pale OT. Tukutane Alhamisi kwa mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Herrera pia
 
Hiyo list ya kikosi cha kuuza aliyoitaja utaitaji madirisha mawili ya kusajili kufill hizo gapes

Na haitawezekana kupata wachezaji wote hao aliowataja hapa kwa fedha alizozitaja.

Hivi sasa ni ghari sana kupata mchezaji hasa unapokuwa desperate in need of replacement
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee ukiamka usingizini kumbuka kupiga mswaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona tunafanana kwenye kutotaka Liverpool washinde

Lakini umewahi kuwaza city ana possibility ya kushinda makombe 4, na akifanya hivyo atavunja rekodi yetu ya treble msimu wa1998/1999

Nilikuwa ninawategemea Wolves (kiboko ya vigogo) acheze fainali na City FA ili amkazie City ila naye ameshatolewa

Tegemeo lililobaki ni apigwe UEFA
Gurdiola will need a life time ban from football if he will alow those bastard from Liverpool to win the league.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahy mkuu wewe kitakuumiza kwa city kubeba yote? Naona hoja yako unataka liverpool awe bingwa epl
 
kushinda quadruple sio kazi rahisi aise.

Kwenye kuchagua kati ya City quadruple na liverpool epl title, hili swali ni gumu kwa United fan. Kwa upande wangu ni bora wote wakose.


Sent using simu mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…