Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chris smalling atauzwa kwa 25 tu
Baily labda 30 kutokana na age yake
Rojo hata f15 anaweza asifikishe
Young kumuuza ukaleta mpya na Dalot utaua timu akiuzwa atleast anaweza akauzwa 25

Hiyo list ya kununua huwezi ukwapata kwa bei ndogo kiasi hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Paul Pogba-pauni mil 150
2.Eric Bailly-pauni mil 45
3.Chris Smalling-pauni mil 40
4.Alexis Sanchez-pauni nil 45
5.Marcos Rojo-pauni mil 30
6.Phil Jones-pauni mil 40
7.Ashley Young-pauni mil 20
mkuu hili andiko lako mpaka hapa niliponukuu limenivutia sana lakini umekosea sehemu ya makadirio ya bei za kuwauza wachezaji, kama wanunuzi ni matajiri wa kichina basi ni kweli unaweza kuwauzia alex sanchez kwa paundi million 45, jones 40 million na wengineo.
ngoja niendelee kusoma wachezaji utakaowasajili nimeona umependekeza wauzwe walinzi wanne wa kati.​
 
1.Jordan Pickford(26yrs GK)-pauni mil 40 from Everton.
miaka miwili iliopita everton wamemnunua pickford kutoka sunderland kwa paundi millioni 30, baada ya miaka miwili unadhani everton watamuuza kwa paundi millioni 40?

allison na kepa arrizabilaga ndio magolikipa walionunuliwa kwa hela nyingi kwa sasa hivyo basi ni lazima everton watahitaji mara mbili ya fedha walizotumia kumsajili.

ndio maana nilishauri humu ndani ni bora arudishwe dean henderson kuliko kulipa hela nyingi kwa kipa aina ya pickford.
 
Chaguo la kipa ni Oblak wa Atletico tu...hata mil.100 tutoe jamaa yuko vizuri

Pogba ni yuda.
De gea nae ni yuda.
Ila chanzo chaatatizo yote haya ni Alex sanchez..analipwa pesa nyingi lkn hafanyi kitu uwanjani thats y wachezaji wengine wanaona bora wadai pesa mingi kuliko honor ya club.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasoro DeGea, Pogba na Baily.

Hao wengine huwezi wauza kwa hiyo bei. Atleast nusu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kwa sababu enzi za timu kutoka Laliga Santander kutamba Zimekwisha, Ukiangalia kwa umakini ubutu wa safu ya ulinzi ya Barca na ukali wa washambuliaji wa Man U wakiongozwa na Marcus utagundua kwamba Barcelona haitoki nje ndani.

Ni suala la kusubiri tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…