Bado. Kuna wapuuzi watatu kule nyuma wakuwatimua.Kumekucha, naona leo BBC na Sky na magazeti mengine wanaripoti kwamba kuna uwezekano wa Man United akaachana na wachezaji 6 au zaidi katika dirisha la usajili lililo mbele yetu
1. Juan Mata (Barcelona bure)
2. Ander Herrera (PSG bure)
3. Antonio Valencia (Anaondoka Bure)
4. Mateo Darmian ((Hayupo kwenye mipango ya kocha)
5. Rojo (Yupo sokoni)
6. Bailly (Hajamshawishi kocha)
Wengine lakini kuna vikwazo
7. Degea (Makubaliano ya mkataba ndio kikwazo)
8. Alexis (Hauziki sababu ya mshahara mkubwa anaolipwa)
Je hii ndio overhaul tunayoitaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani Man City ashinde mechi zake zote zilizobaki.West Ham (H)
Everton (A)
Man City (H)
Chelsea (H)
Huddersfield ( A)
Cardiff (H)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapuuzi sana hawa waingereza na Media zaoWaingereza wasitufanye sisi ni wazembe na matahira wa kutupwa, hiyo list haiwezi kuwa sahihi bila ya uwepo wa phil jones, jesse lingard, ashley young.
May be my memory is down, nani anakumbuka the time your favorite coach anachukua timu tulikua nafasi ya ngapi? And what an improvement he has made so far?
View attachment 1062242
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani smalling,jones na young wazuri kuliko bailly kocha atakuwa hana akili
Kumekucha, naona leo BBC na Sky na magazeti mengine wanaripoti kwamba kuna uwezekano wa Man United akaachana na wachezaji 6 au zaidi katika dirisha la usajili lililo mbele yetu
1. Juan Mata (Barcelona bure)
2. Ander Herrera (PSG bure)
3. Antonio Valencia (Anaondoka Bure)
4. Mateo Darmian ((Hayupo kwenye mipango ya kocha)
5. Rojo (Yupo sokoni)
6. Bailly (Hajamshawishi kocha)
Wengine lakini kuna vikwazo
7. Degea (Makubaliano ya mkataba ndio kikwazo)
8. Alexis (Hauziki sababu ya mshahara mkubwa anaolipwa)
Je hii ndio overhaul tunayoitaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama msimu ujao bado tutakuwa tunamtegemea Young na Victor-Smalling partinership, tuandike maumivu.kwenye hii list hakuna mtoto wa malkia hata mmoja,overhaul inafanywa kwa makusudi mengine kabisa na wala si improvement ya squad yetu.
Kama form ndio hii hii tuliyocheza mechi 4 zilizopita , hata Cardiff City anachukua 3 points
Mkuu kwani huoni siku hizi Bailly amekuwa chaguo la nneYani smalling,jones na young wazuri kuliko bailly kocha atakuwa hana akili
Sent from my SM-G928C using Tapatalk
Halafu eti replacement ya Herrera wanamtaja yule dogo wa West Ham Declan Rice (mwingereza) yaani upuuzi mtupukwenye hii list hakuna mtoto wa malkia hata mmoja,overhaul inafanywa kwa makusudi mengine kabisa na wala si improvement ya squad yetu.
Bailly kusema kweli msimu huu hajafanya vizuri hata kidogo unakumbuka ile game aliyotolewa dakika ya 26 baada ya man u kupigwa goli mbili ndani ya dakika hizo?Yani smalling,jones na young wazuri kuliko bailly kocha atakuwa hana akili
Sent from my SM-G928C using Tapatalk
Acha ubaguzi mkuu uzeru yule jamaa hajaupata kwa kujitakia kocha anafanya sub for a technical reason au kwa sababu za lazima.Ole hata sub za juzi pia alichemka ukweli lazma tuseme ! Lukaku ilibidi asitoke na hata dalot ! Fred pia bora angetoka yule zeru alofunga goli hata timu ya taifa anaanzia nje
Sent from my SM-G928C using Tapatalk
Subutuuuu! Kwa timu gani mliyokuwa nayo???
Tusiwe biased kwenye hiyo list ni wachezaji wawili tu ambao kwa msimu wanacheza angalau match tano hivyo ulitaka awekwe smalling over bailly ambaye msimu huu hajafanya lolote la maana kikosini ?kwenye hii list hakuna mtoto wa malkia hata mmoja,overhaul inafanywa kwa makusudi mengine kabisa na wala si improvement ya squad yetu.
Kutakuwa na additions lakini hata wao watakuwepo piaKama msimu ujao bado tutakuwa tunamtegemea Young na Victor-Smalling partinership, tuandike maumivu.
Summer itatupa picha hawa jamaa wana malengo gani. nataka nione kama Ed na Glazzers wako serious.
Sent using simu mbovu
Kwanza OGS hajaanza kutekeleza mipango yake ya usajili tunawezaje kumlaumu na kuanza kuona mapungufu yake wakati Kitu pekee alichokifanya ni kutransform morali ya team tu ?Nadhani ogs anafanya kazi kwa kukariri zaidi ila si kuangalia uhalisia. Wachezaji tulionao kipindi cha fergie walitosha kutupa makombe kwa kuwa timu pinzani zilikuwa dhaifu zaidi lakini zama hizi timu zinatofauti ndogo sana kiuwezo hivyo tulitakiwa tuwe na cream nzuri zaidi ya wachezaji kutokana na ukwasi wetu.
ggmu