I will take him, as long as his name is not ole gunnar solksjaerWewe mkuu ndio unatakaga mtu kama tony pulis ndio aifundishe man u??
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Tazama leo tunavyomgaragaza Briton city uko.. Hiz ni dalili za mapema kabisa za Ole kuishia no.6Refa aliyewachezesha na Cardiff akiechezesha mechi zenu zilizobaki ndio mtaondoka hapo
Bila hivyo Mtabaki kuwa juu, namba sita (in Pierre Liquid voice)
Sent using Jamii Forums mobile app
Damn..tuna kazi kubwa sana ya kuifanya kurudi hata kidogo tu kwenye uborafedha ya kufanya matumizi ya wachezaji kuanzia 6 hadi 8 sidhani kama ipo kwa msimu mmoja kama tutaamua kutafuta wachezaji wa bei ghali, na kama haipo hata msimu ujao mwendo utaendelea kuwa ni huu wa kucheza vizuri mechi tano then tunacheza ovyo mechi 5 (inconsistent).
kama target zetu ni wachezaji wanne ina maana antony martial, jesse lingard, nemanja matic, smalling, ashley young, rashford, shaw wataendelea kuwa wachezaji wetu wa kikosi cha kwanza msimu ujao.
mwanzoni ilikuwa ni man city peke yake lakini kwa sasa liverpool nao pia wanatuzidi kiubora kama utawalinganisha mchezaji mmoja mmoja. ukimuondoa lindeloff na paul pogba ambaye nayeye kiwango chake hakina tofauti na majira ya msichana (menstrual) sidhani kama tuna mchezaji mwengine mwenye uwezo wa kucheza kikosi cha kwanza pale liverpool.
allison vs degea ( kwa sasa namchagua allison)
arnold vs young ( hata mwendawazimu atamchagua arnold)
robertson vs shaw ( takwimu zinambeba robertson)
virgil vs smalling (virgil mchezaji bora wa mwaka)
matip vs lindeloff (victor yupo vizuri)
gini vs matic (gini yupo vizuri)
fabinho vs herrera ( kwa sasa fabinho)
lallana vs pogba (pogba)
salah vs rashford ( salah ameshuka kiwango lakini bado ni bora)
firmino vs lingard ( hata malaika watamchagua firmino)
mane vs martial ( mhhhhhhhh mane is the best baada ya aguero kwa msimu huu)
hahahahaaaaa mkuu nilituma maombi ya kuwa mwanachama wa kundi la kumpinga OGS cha ajabu mpaka leo hujanijibu, au unahofia nitakuwa napuliza pande zote mbili kama kawaida yangu?
mechi ya jana imenifanya nizidi kuwachukia wachezaji wa kiingereza.
inawezekana phelan, mckena, carrick wanamtijia ujinga OGS wa kupapatikia vichezaji vibovu vya kiingereza.
Majirani mniwie radhi nilikuwa nashangilia dimbani kwetu nikakosea
mkuu nikisema tunahitaji kusajili wachezaji angalau nane wenye ubora watakaoweza kuwakalisha benchi wachezaji waliopo nitakuwa nakosea?
- valencia kuna uwezekano wa kuondoka
- rojo huenda akaondoka
- mustakabali wa herrera haujulikani
- darmian anapaswa kuondoka hana mchango
- mata kuna uwezekano asipewe mkataba mpya.
nafahamu msimamo wako juu ya mourinho lakini kwa situation iliokwisha fikia nyakati zile japokuwa wachezaji wetu nao hawana ubora kiupande fulani lakini jose alikwisha onyesha dalili za kupoteza pambano la kiuongozi ndani ya manchester united kuanzia dressing room hadi ofisini kwa ed woodward, chochote kile alichokuwa anakisema ilimwia vigumu kuaminika hata kama baadhi ya madai yake yalikuwa ni sahihi.
kivyovyote yeye ndiye alipaswa atolewe sadaka kwa kuamini ndiye sehemu ya tatizo kuu ndani ya klabu.
hivi ni nani atakayemuamini nyakati zile aliposema ya kwamba paul pogba ni kirusi?
hivi ni nani atakayemuamini nyakati zile alipoamua kumweka benchi antony martial?
hivi atakayemuamini pale aliposema wachezaji wengi wa sevilla wana uwezo wa kucheza man utd?
hahahahaaaaa mkuu nilituma maombi ya kuwa mwanachama wa kundi la kumpinga OGS cha ajabu mpaka leo hujanijibu, au unahofia nitakuwa napuliza pande zote mbili kama kawaida yangu?
rasmi tumerudi nafasi ya sita.Tazama leo tunavyomgaragaza Briton city uko.. Hiz ni dalili za mapema kabisa za Ole kuishia no.6
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninachojua kwenye swala la usajili watu wengi tulikua nyuma ya Mou, ndio maana mashabiki walikodi ndege ,wakarusha ile banner ya ED OUT kama sikosei. Hata uwanjani siku tukifugwa watu walikuwa wanamshangilia Mou.Kilichomfanya jose apoteze pambano (kama unavyodai) ni ule ukweli wake, jose sio mtu wa kupindisha na kumung'unya maneno, kama ni nyeusi anasema hii ni nyeusi kama ni nyeupe anasema hii ni nyeupe.
Pogba anajiona mkubwa kuliko Manchester that's why anafanya anachojisikia na jose alipojaribu kuwafungua macho madhaifu ya pogba media na mashabiki kindaki ndaki wakamjia juu, saizi taratibu wanaanza kuelewa.
Alichokua anakiongea jose kuhusu board ya timu hadi wengine wakawa wanadai anamtumia Woodward kama scapegoat hapo juzi tu LvG kakiongea, leo hii wale mashabiki uchwara wameanza kuelewa.
Alishawahi kusema kumaliza nafasi ya pili kwa hiki kikosi chetu ilikua ni moja ya mafanikio yake makubwa sana kwenye kazi yake ya ukocha, but kuna watu wakawa wanam-mock na kusema ana lower expectations, nadhani soon hata hili mtajua alikua anamaanisha nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok hajafanya improvement yoyote, but alipokuwa anachukua timu tulikuwa points 11 kutoka nafasi ya nne ,kwa sasa tuko points 3(5) kutoka position hiyo.May be my memory is down, nani anakumbuka the time your favorite coach anachukua timu tulikua nafasi ya ngapi? And what an improvement he has made so far?
View attachment 1062242
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok hajafanya improvement yoyote, but alipokuwa anachukua timu tulikuwa points 11 kutoka nafasi ya nne ,kwa sasa tuko points 3(5) kutoka position hiyo.
Sent using simu mbovu
rasmi tumerudi nafasi ya sita.
sijui tottenham ataendelea kupoteza tena mechi?
sijui arsenal ugonjwa wao wa kudondosha points ovyo utarudi upya?
sijui chelsea watarudisha tena sintofahamu yao juu ya sari masigara?
bado sijakata tamaa na top 4 msimu huu.
tatizo si kocha tulienae bali ni wachezaji wanaounda timu yetu wengi wao wanatabirika kiuchezaji, kama hoja ni udhaifu wa makocha ndani ya miaka 6 tumewapa mikataba makocha wawili wenye cv nzito kuliko great wall lakini bado lengo kuu la kuundwa kwa timu hatujalifikia.Ok hajafanya improvement yoyote, but alipokuwa anachukua timu tulikuwa points 11 kutoka nafasi ya nne ,kwa sasa tuko points 3(5) kutoka position hiyo.
Sent using simu mbovu
Kamuulize OleHivi ni sababu gani ilimfanya Ole kumtoa Lukaku na kumwacha Lingard uwanjani?