Mkesha wa huu ushindi wapi jamani? Nazunguka Dar yote na mafuta ya gari yananiishia sisikii vifijo na nderemo....wapi mashabiki wa Man Utd. ndani ya Dar hii? Mwaka huu ushindi ni wetu na kombe litabakia Old Trafford kama kawa!

Ni lazima MAN CITY kuna sehemu itakabwa koo,hapo sasa ndiyo RED DEVIL ikishika usukani ndiyo mpaka kuchukua ile NDOO ya maji kama vile CHIPOLOPOLO. Gooo Man Utd no one like you!