Yeah ni kweli
Kwa kuwa wewe ni mdau humu nadhani huwa unafuatilia/kuchangia mijadala
Sio kwamba pale United hawanunuliwi wachezaji, wananuliwa lakini naweza kusema ni kwa kukurupuka
Can you imagine tangu babu aondoke imeshatumika takribani milioni £700?
Tatizo la kwanza watu wasio wa mpira (wafanyabiashara) ndio wanafanya football decision pale United
Tatizo la 2 mameneja wanaajiriwa bila kuzingatia football philosophy yao in relation na football philosophy ya club, hivyo kila kocha anayekuja anaanza upya kusajili, hamna uendelevu
Awe technical, Football ama Sport Director...... Anahitajika mtu wa ku bridge gap kati Wafanya maamuzi ambao wanaangalia sana biashara na staff inayoshughulika na football
Kingine, badala ya kuangalia quantity (kusajili sura mpya nyingi) tunapaswa kuangalia quality, yaani tusajili (wachezaji wenye uwezo kweli kweli hata kama ni wachache)
Sent using
Jamii Forums mobile app