Tubadilishane na verrati basiSeem like serious..anyway,herrera sio world class player kwahiyo kumreplace haitakuwa ngumu..tutamiss Passion aliyokuwa nayo ya upambanaji nothing else
Wan Bissaka ni mchezaji bora zaidi ya Dalot mkuu.. Jmaa anashika namba 3 kwa tackles won in the league na Yupo vizuri kupanda na kushuka...ukizingatia this is his first season in the league anafaa Sana..... kwamfano tunacheza na dortmund alfu dalot awe amelanda kdogo Sancho apate mpira je dalot staweza kumfukuzia.... Dalot mzito sana mkuu and tukimpata Bissaka inamaana watashindania namba so watacheza kwa kiwango chajuu sanaHivi huyu Bissaka wa nini mbona Diogo Dalot yupo vizuri tu ?
Mbona Ashley Young anacheza vizuri sana hiyo position ?
Matteo Damian je ?
Au kwa sababu ni mchezaji mzuri tu lazima aje United ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tetesi zinasema Ole hajaamua muonekano wa kiungo chake na watu watakaomzunguka Pog.... Ndo maana mkataba wa Herrera unasuasua sana....Naona jioni hii majarida mbalimbali yanadai Herrera amesaini pre contract agreement na PSG
Kama taarifa ni za kweli, tunahitaji kusaini watu 5, sio 4 tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Muache aende tu beardless henderson.Naona jioni hii majarida mbalimbali yanadai Herrera amesaini pre contract agreement na PSG
Kama taarifa ni za kweli, tunahitaji kusaini watu 5, sio 4 tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Manchester United are trying their best to convince Ander Herrera to stay, but according to reports the Spaniard is using interest from PSG to raise his wage demands. Apparently, Herrera wants £200,000 a week but United won’t pay him more than £170,000 a week.Yeah nadhani ataondoka! inasikitisha lakn Man UTD itabaki kuwa Man UTD cha kufanya sasa ni kusajili watu wa maana!
Tetesi zinasema Ole hajaamua muonekano wa kiungo chake na watu watakaomzunguka Pog.... Ndo maana mkataba wa Herrera unasuasua sana....
Pia tunahitaji aina flani ya middle ambae atakuwa niupgrade ya Ander.... Mziba nafasi wa Fellaini na Ander nadhan tunaweza sajili rabiot na declan Rice hao wote hawafikishi hata paun mil 50 maana rabiot atakuja bure... But kwamaoni yangu kati ya Ndombele, rabioti, Declan Rice, Fernandes, Aouar Wawili waje....
Sent using Jamii Forums mobile app
Rabiot hawezi flop mkuu physical Yupo vzuri na anauwezo wa kutosha sana on the ball...gane nyng ngumu za PSG yeye ndo alionekana hai...kumbuka game name madridRabiot ni gambling kumleta kwenye EPL heri ukamnunue Ruben neves ambaye tayari ameshaprove katika EPL
Sent using Jamii Forums mobile app
Damushin kiongozi ni kweli nimekuwa nikiwapigia sana chapuo watoto wa kiingereza hawa 3 tu....Rice, Sancho, Bissaka mantis Hudson Odoi kwa muda....ukianza na declan Rice ukiangalua game 2 izopita na city utaona jinsi gan anajua kazi yake ni mbadala sahihi wa Matic just imagine Declan na Tomminay wanacheza nyuma ya pogba. Itakuwa raha sana anajua kukaba, yupo vizuri on air, anapiga pasi vzuri na anapandisha mashambulizi pia.....
Sancho ainahitajika kuongeza kitu kwenye winger yetu na anaendea kukua so Miaka 2 bei yake inaweza kuwa 180 huko..speed yake pia ni kitu tunachohitaji kwenye winger yetu na pia uwezo wa kuwapangua wapinzani na kutoa assist nzuri.....
Bissaka game na city nliiangalia vzuri kijana Yupo mature sana na anatimiza wajibu wake wote kushambulia na kukaba kwa speed ile ile.... Anapiga cross vzuri kama dalot tu ila tofauti kubwa kati ya dalot na Bissaka ni uwezo wa kupanda na kushuka na uwezo wa kukaba.... Dalot kukaba hajui kihivo alafu ni mzito kushuka pindi akipoteza mpira....tackles won anashika nafasi ya 3 kwa msimu wake wa 1 anaonekana kuwa na potential kubwa sana..
Hudson Odoi naona kuna shida kati yake na Sarri, baada ya game ya England na Montenegro Sarri aliponda uchezaji wa Odoi kuwa jamaa dakika 20 za mwanzo alicheza vbaya.. Uzuri wa Odoi ni kuwa akiondoka Chelsea atajituma zaidi ili awaprove wrong Chelsea na Sarri, kiuwezo yupo vzuri ukizingatia hata Miaka 20 hajatimiza.... Game ya jmos na Cardiff walimuonesha kavimba kweli, kwa Mashabiki wa Man u ni furaha kwetu maana inaongeza possibility ya kumsajili....ingawa naona kama tutamsajili Odoi basi Sanchez auzwe then Odoi aje pambana na martial maana Odoi ni mzuri kutokea left na anapenda tokea kushoto.....
so ningepewa jukumu la kusajili watu 5 tu ningesajili skiniar wa inter, sancho,Bissaka, Declan rice na Neves then tunafunga jukumu..... Ila sema Neves ni gharama sana so bora tuendelee na rabioti tu
Sent using Jamii Forums mobile app
thanks brother kwa uchambuzi wako, sina cha kuongeza kwa sababu ni dhambi kubwa sana kumpinga mwenzako bila ya kuwasilisha ushahidi wa kutosha.@Damushin kiongozi ni kweli nimekuwa nikiwapigia sana chapuo watoto wa kiingereza hawa 3 tu....Rice, Sancho, Bissaka mantis Hudson Odoi kwa muda....ukianza na declan Rice ukiangalua game 2 izopita na city utaona jinsi gan anajua kazi yake ni mbadala sahihi wa Matic just imagine Declan na Tomminay wanacheza nyuma ya pogba. Itakuwa raha sana anajua kukaba, yupo vizuri on air, anapiga pasi vzuri na anapandisha mashambulizi pia.....
Rabiot hawezi flop mkuu physical Yupo vzuri na anauwezo wa kutosha sana on the ball...gane nyng ngumu za PSG yeye ndo alionekana hai...kumbuka game name madrid
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah!!Seem like serious..anyway,herrera sio world class player kwahiyo kumreplace haitakuwa ngumu..tutamiss Passion aliyokuwa nayo ya upambanaji nothing else
Haya ni mawazo ya kimasikini. Unataka kusema Man city hatuwezi kumfunga Man u pale kwake na tukaendeleza mbio za ubingwa?Manchester United ama Manugu FC
wako katika wakati mgumu kwa sasa :
Its either wapige Man City na waruhusu Liverpool Wabebe kikombe ama wajilegeze kwa Man City na wacheze na Chernobly FC Europa Next season.
Kipi bora Manugu Fans?
The Choice Is Yours bitch!
Wachezaji wa kibrazili huwa siwaamini sana maana performance yao EPL ni ya kubahatisha sanaRabiot hawezi flop mkuu physical Yupo vzuri na anauwezo wa kutosha sana on the ball...gane nyng ngumu za PSG yeye ndo alionekana hai...kumbuka game name madrid
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wa kibrazili huwa siwaamini sana maana performance yao EPL ni ya kubahatisha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kambi ya Herrera pia ilitumia hii opportunity kutaka mshahara mpya lkn kwa umri wa miaka 29 hastahili kulipwa hizo £200k kwa wiki sabab mbali na upambanaji wake Herrera na love alinayo kwenye club lkn tuseme ukweli sio mchezaj wa kiwango kikubwa sana zaidi tunachompenda ana ile fighting spirit...Naona wengi wetu tumeridhika kuondoka kwa Herrera, japo mimi ninaona tatizo
Ni ukweli huko ulimwenguni kuna upgrade ya Ander lakini si wengi kama tunavyodhani
Kupata mbadala wa Ander tunahitaji sio chini ya £50 million, hivyo kama Glazers walitaka kumpa Ole £200 million kwa ajili ya kuimarisha kikosi, watapaswa kutoa £250 million jambo ambalo siamini kama Glazers wapo tayari.
Glazers watamwambia Ole, mtumie zaidi Tominay, mtumie zaidi Fred, mtumie zaidi Perreira na ikibidi angalia academy lakini sidhani kama kuna hela watatoa. Tukumbuke kuwa kabla ya suala la Herrera tayari tulikuwa tunahitaji kusajili midfielder mmoja, sasa itakuwa wawili.
Watu wanasema tutampata Rabiot bure, jambo ambalo sio kweli kiivyo maana kuna signing on fee £10 million. Isitoshe ninampenda Rabiot kama mchezaji, lakini character yake na mama yake ambaye ni agent wake ni tatizo. Ku deal naye ni mtihani sana, yupo kama Pogba tu. Isitoshe sio sisi tu tunaomtaka Rabiot, kwa hiyo kuna competition na kwa kuwa ni free agent lazima ata demand mshahara mkubwa tu.
Kama tulikuwa tunataka sana kufanya surgery ya kikosi, katika midfield Matic ndio alikuwa wa kwanza kuondoka kabla ya Herrera. Matic ana mwaka 1 wa kucheza kwa kiwango kinachohitajika pale United, na Herrera alikuwa ana misimu zaidi ya 2 kucheza kwa kiwango cha juu
Kibiashara Ed na Glazers sijui wanawaza nini? Kwanini basi wasikubali kumpa mshahara wa £200k kwa wiki anayodai halafu akitokea mteja auzwe hata kwa £25million? Mbona tulifanya hivi kwa Fellaini? Jambo pekee ninaloona hapa United wali abuse upendo aliokuwa nao Herrera kwa United, wakidhani "kuku akiwa wako, hamna haja ya kutumia manati ili kumpata"
Let's wait and see
Sent using Jamii Forums mobile app