Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hawa ndio wachezaji wa United ambao waliyokosa kuwakilisha mataifa yao sababu ya injuries
Shaw
Rashford
Martial
Matic
Lukaku
Lingard

na hawa ndo wachezaji wanaotegemewa kuanza dhidi ya Watford this weekend
Shaw
Martial
Matic
Lukaku
Lingard
Wengi wa wachezaj katika hii list wamehofia kuwa na majeruhi zaidi lkn si kwamba wote walikua na serious injuries, hata ukiangalia trend ya majeruh kwa hawa wachezaj kuanzia mwezi Feb ni kubwa sana.

Na kwa sasa ligi zinaelekea kuisha kwahiyo hakuna mchezaj anaetaka kuwa na majeraha ili akose mechi za mwisho wa ligi. Mfano, wachezaj wengi wa kiingereza walijitoa katika kikosi kwa kuhofia maumivu waliyopata yasije kuathiri kushiriki kwao katika mechi za ligi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa ndio wachezaji wa United ambao waliyokosa kuwakilisha mataifa yao sababu ya injuries
Shaw
Rashford
Martial
Matic
Lukaku
Lingard

na hawa ndo wachezaji wanaotegemewa kuanza dhidi ya Watford this weekend
Shaw
Martial
Matic
Lukaku
Lingard
Lakini uliona comment ya Southgate kuhusu J. Lingard? Alijitoa kwny timu ya taifa kwa kupata majeraha madogo lkn akaja siku chache mbele akaanza mechi na Wolves.

Hili ilileta ukakasi kwa baadhi ya viongozi na mashabiki wa England,ila kocha alitumia busara sana kulizungumzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu iuzwe na hao wote waondoke ije safu mpya ya uongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Van Gaal amesema Manchester United ni Commercial Club zaidi kuliko Football Club

Kwenye hili namuunga mkono

Hao jamaa wataondokaje wakati kila mwaka wanavunja rekodi ya mapato? Kwa Glazer mapato ni kila kitu.

Kweli United is a more a commercial club than Football Club
Hii timu iuzwe na hao wote waondoke ije safu mpya ya uongozi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok , kwamba sisi ambao hatukubaliani na wewe, kwenye swala la pogba, ndio huwa tunafuatilia man u kupitia live score?

Kama ni hivyo basi sawa.

Sent using simu mbovu
 
“You know our squad, it's very good, It'll need adjustments but not a revolution. I'm sure there will be some exciting new players coming."
Ferran Soriano manchester city CEO.

Hii habari ni muhimu zaidi kiupande wetu kuliko mjadala wa paul pogba.
 
Mkuu kwanza naomba nianze kwa kusema kuwa huwa Napenda sana michango yako humu ndani

Kuhusu klabu yetu pendwa ukiachana na timu yetu kuwa na matatizo uwanjani lkn kwenye management na administration (wamiliki) kuna shida sana maana haiwezekan waajiriwa watatu wote walalamike,mpaka mwanzo wa msimu huu watu wakepeperusha chopa la kumpinga sheikh Ed.

Kibaya ni kwamba Glazer hawawezi kuuza timu na wala hawawezi kubadilisha management maana inawapa faida

Moyo wangu unaniuma kuona inakoelekea hii club yangu pendwa.
 
Hawa watu wanajua wanachokifanya kuliko sisi
 
Pogba abaki asibaki, naona ni vema wapatikane waking matic wawili. Wakina herera japo mmoja, na beki mmoja, ondoa Smalling, Smalling sikuwa namtaka tangia enz za baby, sikuwa namuamini Jones tang wkt ule
 
Tatizo siyo ufundi wake tatizo ni kutokuwa na roho ya kuipigania club sana sana anapigania mambo yake binafsi na kutaka awe mkubwa kuliko club.
Mbona Aron Ramsey ni mzuri sana lakini Arsenal wamemuachia aondoke?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makosa ya Ashley Young ni ya kawaida kiuchezaji ya pogba angalia mengi husababisha tufungwe worse enough team inacheza kwa kumtegemea kama key man kwahiyo mistake Moja tu inaharibu kila Kitu.

Unakumbuka kosa la Gerald dhidi ya Demba Ba ? Makosa ya pogba uwanjani ni type hiyo
hizi ni chuki za wazi wazi mnazoonesha sasa hebu nambi kati ya Ashley Young na Pogba nani anaeigharimu timu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah sema ni ngumu kwa Mwalimu kumtanguliza Pereira akamuweka pogba bench roho hii anayo Mourinho na Ferguson tu
Kuna madogo wengi wanakaza sana pale kati.
Mimi huwa nachukia sana kumuona Pereira bench wakati anaweza kucheza nafasi nyingi tu na akafanya vizuri.


Kumuona Pogba anacheza 10 wakati mata yupo bench ni kama kumtusi Mata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…