Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wamesepa akina Ronaldo itakuwa Pogba..so point yenu ni kuwa Pogba hachezi serious??
Kuondoka kwa Ronaldo kulikua professional na alionesha kuijari club, sikumbuki Ronaldo akiziongelea madrid na barca kuwa ni ndoto yake kuchezea timu hizo akiwa bado yupo Manchester.

In short pogba haiheshimu Manchester he's here for money n nothing more. Fuatilia interview ya Kante ya juzi alipoulizwa swali kuhusu yeye kuhamia Madrid alafu ulinganishe na alichokijibu huyu mpuuzi wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usiseme kuondoka kwa Ronaldo ilikuwa professional sema hukusikia Ronaldo alisema nini kabla ya kuondoka

kwanza una habari ya kuwa Ronaldo alitaka kuondoka kabla ya mwaka ule aliyochukuwa ballon dor unayo?? unalijua hilo??

eti kuijali klabu sasa unaijali klabu then kwanini uondoke sasa??
 
Professional kivipi??..una uhakika kuwa Ronaldo hakuwahi kuzungumzia kuondoka kabla hajaenda Madrid??
 
Kitu nilichogundua hapa ni kwamba watu wanamchukia Pogba sababu anatamani siku acheze Madrid na kwamba amekosa heshima kuropoka kwenye media,alichokifanya Pogba sio sahihi na kawakera mashabiki wengi wa UTD hyo ni kweli lakin msianze kuongea upuuzi kuhusu kiwango chake, mtu ni KEY PLAYER kwenye timu iliyoshinda World cup na alipiga bao Finali lazima ukubali uwezo wake umpende usimpende hata wapinzani wa UTD wanajua Pogba ni fundi sasa inashangaza sana kuona mashabiki wa UTD wakiongea otherwise! hebu nitajieni viungo n.o 8 watano pale PL wanaomzidi uwezo Pogba kama kweli mnaamini ni mchezaji wa kawaida
 
Mkuu licha hata ya kuongelea ishu za Madrid kuna watu kibao wanaona Pogba hastahili kuwa pale OT

Mimi as long as huyo mchezaji anacheza vizuri uwanjani mambo mengine hayaniusu..Mbona pia Hazard ashawekaga feelings zake kwa Madrid??
 


"I would like to play for Real Madrid but only if it is true they are ready to pay what Manchester United ask of them. However, it does not depend on me." Maneno ya Ronaldo hayo 2008. Source
 
sio pale EPL tu sema duniani

Pogba anaanza timu yeyote duniani either club au national team
 
Nadhani wewe ndio umeelewa nilichoongea hao wengine wanapiga nduru tu, ONLY IF IT IS TRUE AND THEY ARE READY TO PAY WHAT MANCHESTER UNITED ASK OF THEM.

then niletee na utumbo anaokua anaongea mkata viuno wenu.
"I would like to play for Real Madrid but only if it is true they are ready to pay what Manchester United ask of them. However, it does not depend on me." Maneno ya Ronaldo hayo 2008. Source

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani wewe ndio umeelewa nilichoongea hao wengine wanapiga nduru tu, ONLY IF IT IS TRUE AND THEY ARE READY TO PAY WHAT MANCHESTER UNITED ASK OF THEM.

then niletee na utumbo anaokua anaongea mkata viuno wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha...We jamaa bwana sometimes huwa sikuelewi unasupport timu gani ,hata Ronaldo nae alikosea kuongea hayo maneno na sidhani kama Ronaldo anaijali Man Utd kama hvyo unavyofikiria ww sema ana heshima kidgo.
 
Yaa atafanyaje kazi na mchumia tumbo Kama wewe, siwezi kufanyakaz na wapimbavu,maanina wewe.
 
Kwahiyo hapo Ronaldo alikuwa right??..Damn,,si anaonyesha kabisa kuwa yeye hajali timu ikikubali ofa anasepa
Nadhani wewe ndio umeelewa nilichoongea hao wengine wanapiga nduru tu, ONLY IF IT IS TRUE AND THEY ARE READY TO PAY WHAT MANCHESTER UNITED ASK OF THEM.

then niletee na utumbo anaokua anaongea mkata viuno wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rahisi tu,

Pogba ni mercenary, anafanya United kama daraja la kwenda kucheza kwenye timu za ndoto zake (Madrid na Barca, ametamka wazi)

Wakati Herrera play for the badge (calibre ya akina Roy Keane)

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulinganisha vitu vya ajabu na Roy keane.
Acha

Sent using simu mbovu
 
hebu nambie mnataka Pogba acheze namna gani ili mjue kuwa anaipambania timu??

ni kweli Pogba aipambanii timu??
Mkuu wala usiangaike, kuna watu hawampendi tuu ,
nazani sababu ni (1)personality yake, kingine ni (1)jinsi alivyoondoka kwenda juve.

Wataleta visingizio sijui haipambanii timu, hayuko serious. Mara anashinda sana saluni. Sababu ni hizo tuu.




Sent using simu mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…