Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manyua ilikuwa swala la muda tu, upepo umekata, na hapo katikati mtachezea vipigo hadi muanze kulaumiana kama kipind kile cha mou

Sent using Jamii Forums mobile app
Ichi kipind cha intaneshino briks tutatulia sana ..maana zilianza zile mbwe mbwe za tuna FA, tuna UEFA na EPL ...hahahaha sasa cjui saiv watabakiwa na nini ..dah adi uruma aise..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww ndio uache ubishi. Ole hajamaliza msimu. Kaanza kazi juzi tu mnataka kumlinganisha na jose.. how?
Subiri msimu uishe ndio tupime je amefikia wapi?.

Sawa joe alishinda kikombe lakin mwenendo wa team baadae ukaenda vibaya.. tim ilihitaji replacement.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise walikuponda sana mze baba ..kuhusu Mourihno ulikuwa sawa kabisa..

Uyo Ole ni muamasishaji tu hana ukocha wowote ..

Mpeni timu ili tuendelee kufurahi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mou katika msimu wake wa mwisho alipoanza kufanya vibaya mlitamani abaki ili muendelee kuifaidi man u. Kaondoka kaja ole ka loose mechi mbili mmerudia pale pale.

Mechi mbili hizi hazi determine performance ya kocha. Mafanikio hupimwa kwa msimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nika type mpeni timu kabisa kwa msimu ujao ili tuone atafanikiwa vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
At least wewe umeongea , sio hawa wanaoponda mchezaji mmoja.

Tuna wachezaji zaidi ya 6 kwenye first 11, ambao hawawezi kuanza kwenye timu inayoshindania makombe. Smalling, matic, herrera, young, lingard, etc.

Kule Right wing kumekufa kabisa, mashambulizi yetu yote yanapitia upande wa kushoto( hii kitu inanifnya sometime nashindwa kumlaumu martial), tuko predictable.

Kwenye midfield , matic ameisha yuko slow, yaani slow kutoa pasi za haraka, pia slow kusaidia kwenye attacking. Kinachosikitisha mbadala wake ni MCT.

Herrera, workrate yake ni nzuri but kipi kingine anacho offer.

Lingard, midtable team player.

Ili kucompete na best teams, tunahitaji best player(world class players) , sio hawa tulionao.

Summer signings
CB
Fullback
Rw
CDM , hawa ni must, tukishaleta hao ndio tulete wachezaji wakucompete Numbe ,ili waliopo wasibweteke.

Angalia Man city ,leroy sane akizingua sterring anachukua namba, mahrez akizingua ,sterring au bernado silver wapo. Hivyohivyo hata position nyingine.

Sasa ukija Man U, first11 tu ni ovyo ovyo.

Unabaki unajiuliza miaka yote hiyo tulikuwa hatusajili?. Unakumbuka kuwa kila kocha alikuwa anasajiri anavyopenda yeye, sio kulingana na falsafa za timu.
Kocha akiondoka wachezaji hao hawafai tena.




Sent using simu mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…