duh, kwel huu ni utandawazi....unaweza amini hii?, niko pembezon mwa nchi ya nyerere hii....amna umeme wa ngeleja....amna miundo mbinu ya kueleweka....amna maji ya bomba.....amna cchte....ila these fellas are enjoying live games zoote za epl, cl, la liga etc?....hahahaha! GGMU! wacha nikachimbe dawa kwenye mahindi hapo nje nije kumalizia 2nd half...