Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe katikati pogba ,matic walifanya nini zaid ya kuzurula tu

Nilipenda mtangazaji anakwambia

Ohhoooo boom xhakalaca.....

Ubalizungumziaje Goli la xhakazullu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mnabisha hatukutawala? Hizo possession unazotaka kudai mlitawala ni mwisho baada ya kuwa mmebakwa,tukawaacha mposesi back pass

Siku hiyo matic ,pogba walifungwa mawe miguuni,

Fred garasa alikuwa anazurula tu

NDIO maana man of the match Alipewa Ramsey kwa alichokifanya hapo kati,

Huku xhaka akiwa free

NASEMA HATUWEZI KUFUNGWA NA DEIWAKA

MMETUCHANGIA POINT 4



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti upepo,

Sema kombola....

Kwahiyo upepo ulikuwa kwetu,

Sema mlizidiwa ,timu dk 20 za mwanzo IPO nyuma tu inavizia ,unasema bahati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana unakichwa kigumu sana ww mpka sahv huelewi tulikuwa tunajadili nn, hapa napoteza muda tu kuendelea na hii mada, mwenzako niliokuwa naongea nae mwanzo nadhani ameelewa.
Kichwa chako inakiona chepesi wakati mgando umeshaambiwa soccer is a game of chance bado unaleta blabla, we umeshagongwa acha kujifariji kama mlicheza mbona hata la offside hamkupata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Weekend hii tunao wolves kwenye FA..

Aisee hapa lazima kazi kubwa ifanyike ili tuende semi-final
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…