Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama mlipiga mpira mwingi ilikuwaje mkabakwa 2-0

Na kiungo chenu kikawa kama kimefungwa mawe miguuniView attachment 1044243

Sent using Jamii Forums mobile app

Shida ndo hii ukianza kuongea mpira na watoto,zingatia nilichoandika kwanza kabla ya kukurupuka, mwenzako alidai mliongoza possesion na akaongea kana kwamba mlicheza mpira kutuzidi sana ila ukiangalia stats hapo mlichotuzidi ni magoli tu ambayo ukifatilia ni ya bahati tu...goli la kwanza upepo ulimchanganya keeper la pili mlibebwa na Refa kwa kupewa penalti..
 
We football uijui vizuri siku zote it is game of chance ndiyo maana wakagongwa, psg alipiga mpira mkubwa lakini man u ikashinda unashangaa nn sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We football uijui vizuri siku zote it is game of chance ndiyo maana wakagongwa, psg alipiga mpira mkubwa lakini man u ikashinda unashangaa nn sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwan nani anashangaa minilikuwa nampinga hyo ndugu yenu aliekuwa anasema mmetawala sana mpira kutuzidi sisi,ushindi ni kweli mmeshinda hyo hatukatai na ni haki yenu kufurahi, maana huwa tunawafunga sana ila msiongee kama mlipiga mpira mwingi wkati wote tunajua mlibahatisha tu.
 
Ball possession PSG 72% Man u 28% mbona mlishangilia ushindi wala hamkusema mme bahatisha acha unazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ball possession PSG 72% Man u 28% mbona mlishangilia ushindi wala hamkusema mme bahatisha acha unazi

Sent using Jamii Forums mobile app

Hamjakatazwa kushangilia ushindi ila ongea ukweli ndo nachosema mm hapa kama huelewi hyo ni shida yako,hakuna mshabiki wa UTD aliyesema kwamba tumewazidi mpira PSG au tulitawala zaidi mpira, hilo jambo lilikuwa wazi, pia hakuna mtu alietegemea tutashinda na tukashinda na watoto...nyie wenyew hamkutegemea mtatoka na ushindi, ss mnaanza kelele za kwamba mlituzidi kwenye kutawala mpira kitu ambcho sio fact.
 
Possession ya nn what matters ni point 3 tulizochukua, na tulijua hamtoki mlikuwa mnajidanganya na draw ya liverpool na ushindi wa psg mkajazana vibanda umiza mkatoka vichwa chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Possession ya nn what matters ni point 3 tulizochukua, na tulijua hamtoki mlikuwa mnajidanganya na draw ya liverpool na ushindi wa psg mkajazana vibanda umiza mkatoka vichwa chini

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaonekana unakichwa kigumu sana ww mpka sahv huelewi tulikuwa tunajadili nn, hapa napoteza muda tu kuendelea na hii mada, mwenzako niliokuwa naongea nae mwanzo nadhani ameelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…