Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MANYUMBU habari zenu!!? Dhumuni la barua hii ni kuwaomba mechi yenu na man cty muwafunge kama hamtaki basi bakini huko huko chini huku juu tusiwaone, hili sio ombi ni lazima. Asanteni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunazungumzia matokeo ya Jana

Wewe VIP mbona unahama mada

Ulileta uchambuzi uchwara , unajifanya mganga wa kienyeji

Haya yakowapi sasa ...unatema povu tuView attachment 1043019

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe tunazungumzia matokeo ya jana, mimi nilidhani tunazungumzia Man Utd na Arsenal

Kama ni matokeo ya jana, yapo Liverpool na Burnley, yapo ya Chelsea na Wolves n.k

Kama tunazungumzia hizi timu mbili huwezi kukwepa kuzungumzia hili picha la kutisha mlilokumbana nalo 2011


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli hatuyachukui maoni yako, kwani haya ni matatizo ya timu zote duniani(ukiondoa ile Barca ya kina Messi,Iniesta ya emzi zile)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlibalance mchezo. Kaangalie statistics possession ilikua juu kwa nani, sio unamwaga uozo wako hapa. Mechi tatu unashinda moja bado unajiona una timu, ptuuuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, nimependa hii..nadhani huyu bwana hatarudia kuleta uongo uongo wake tena hapa..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlibalance mchezo. Kaangalie statistics possession ilikua juu kwa nani, sio unamwaga uozo wako hapa. Mechi tatu unashinda moja bado unajiona una timu, ptuuuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Uozo unaongea ww, kaangalie kipind cha kwanza mlifanya nn hapo kati,

Arsenal tukishakubaka ,tunakuachia possession

Yaan unadhan hizo possession ulizomaliza nazo ndio ulicheza dk zote

Kaangalie hapo kati nan alipatawala kama sio RAMSEY,

NA ndiye MOT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…