Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa upande wangu mi sijaumia kupoteza hii mechi kwanza tulikuwa na mech kubwa nyingi mfululizo na zote tulichomoka arsenal ilikuwa lazima wajitetee tumebamiza sana pale

Kwangu mimi poa tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hahahahahh wewe unaingia uwanjani unamtegemea Lukaku? Are you mad? Nasisitiza UEFA nakutaka nikufundishe jinsi mpira unachezwa na jinsi magoli yanafungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu mi sijaumia kupoteza hii mechi kwanza tulikuwa na mech kubwa nyingi mfululizo na zote tulichomoka arsenal ilikuwa lazima wajitetee tumebamiza sana pale

Kwangu mimi poa tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
Hahahaha lazima mtafute pa kujifichia hahahaha ..

Zile sita ziko wapii hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona vijana wa Arsenane wamejaa sana humu

Mungu ni wetu sote hivyo kudhani kila siku tutawafunga ni kujidanganya. Pia kudhani kwamba OGS asingefungwa hata mechi moja ni kutojua soka.

By the way, United ataendelea kuwa United.

Tumefungwa. Imeuma. Maisha yanaendelea. Imagine wewe kwenye mechi 18 umefungwa mechi 2, kuna wenzako wametunguliwa mechi za kutosha tu.

In fact, siku ya jumatano asubuhi ningeambiwa nichague kuingia robo fainali ya UCL na kufungwa na Arsenane ningechagua hili la pili.

Kiufupi hatukucheza vibaya, japo makosa madogo madogo yametufanya tupoteze mechi.

Hatukutumia nafasi tulizopata kwa ufasaha lakini pia tumefungwa goli ambazo kwa mtazamo wangu zingeweza kuzuilika. HAMNA HAJA YA KUNYOOSHEANA VIDOLE, HUWEZI KUSHINDA MECHI ZOTE.

Arsenane hongera yao kwa kupunguza uteja, leo wamesogeza, walikuwa wametufunga mara 82, leo wamefikisha mara ya 83. United amebaki kuwa amewafunga karne kasoro 1 yani mara 99

United yupo kwenye mbio za top 4, yupo robo fainali ya FA, yupo robo fainali ya UCL, kwanini wewe shabiki wa United ukose usingizi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahh wewe unaingia uwanjani unamtegemea Lukaku? Are you mad? Nasisitiza UEFA nakutaka nikufundishe jinsi mpira unachezwa na jinsi magoli yanafungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app


Hahahahah Leo nisiku yako ya kushine mkuu , may you keep the thread alive please!!
Huyo Lukaku unae muunder rate leo, kwetu sie ni lulu kwa kiasi chache.
 
Aisee DALOT mbovu sana, nadhani wale walinitukana leo wameona. Yuko very slow. Winga ya kulia ni kama haikuwepo. Hakuna kijana wa academy huko namba 7 aje akamate hapa!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…