Duhhh!! Mechi hii nilikuwa nimeisahau nimejutaaaaa kuikumbuka,dah!! Maisha yamebadilika sana Arsenal alikuwa kibonde wetu,yaani hizi dakika zilizobaki natamani itokee ile miujiza kama ya enzi zileeeeee dahhhhhhhh!!!!!! We missed the point!!!! Haya ndo mpira kuna kushinda na kushindwa.
#GGMU
Sent using
Jamii Forums mobile app