Akishika mpira watu wanacheka, mnyama akishika mpira unajua ni mauaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akishika mpira watu wanacheka, mnyama akishika mpira unajua ni mauaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe mara yako ya mwisho kutukana MkuuUnaandika kwa ujasiri wakati ndani yako unajua uhalisia. Fanya analysis ya kikosi ulicho nacho na kosi la Barca. Nasema hivi ukidondoka mikononi mwa barca nakula mbele na nyuma mkuu hiyo haiepukiki. Uliye mfunga juzi nilimfunga 6 sasa wewe zitaanzia sita kwenda juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingine utakuwa na akili timamu hii timu huwa haichezeshi majina inacheza wachezaji wenye moyo wa kupambanaView attachment 1041367
We unayetwangwa na Levante au Raal Socedad ya Moyes unajiona una timuYule ndio mpinzani wangu sasa na hua naingia uwanjani nina uhakika wa kumtwanga, wewe muhuni unae pambana na wakina Brighton wanakutwanga unategemea nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahh unaweka Ronaldo? Umekosa wa kuweka kwenye squad yako yenye wakina Bailly, Fred na wakina Lukaku?
Sent using Jamii Forums mobile app
6 ulizoshinda na refa alifunga magoli mangapiAlipo shinda 4 nikamgaragaza 6, sasa wewe katim ka hovyo unategemea nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe mara yako ya mwisho kutukana Mkuu
Turudi mpirani. Barcelona kilichobako ni makumbusho tu.
Sijaona Beki wa kumkaba Lukaku ,Rashford na Martial. Usinitajie Pique na Lenglet (maana utakuwa tu unataka kunichekesha)
Messi na Suarez wa leo ni vivuli wa Messi na Suarez tuliokuwa tunaowafahamu. Ingekuwa miaka 5 iliyopita huyo Messi tungem man mark kupitia Herrera, lakini kwa sasa itakuwa ni kupotezeana muda tu.
Sergio Bosguet hana uwezo wa kudhibiti kiungo ambacho Pogba yupo katikati.
Coutinho na Dembele ni mere replica ya wale jamaa wa Liverpool na Dortmund.
Nikuhakikishie tu kwamba, PSG ya sasa ni bora kuliko Barca
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Lukaku mzito, muulize Thiago Silva alipitwa na Lukaku kama amesimama kumbe na yeye anakimbiaBingwa wa UEFA Cup mimi tu ndio nina guarantee ya kumfunga muda wote nitakao, wewe kajitim kanako tegemea Jamaa lizito (Lukaku) unategemea nni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama nyie mkicheka sisi inatuhusu niniAkishika mpira watu wanacheka, mnyama akishika mpira unajua ni mauaji.
Sent using Jamii Forums mobile app