Goli ni makosa ya Young,kumrushia mpira mtu aliyezungukwa na maadui...na huyu Lukaku asee!,cant say more ila anachofanya uwanjani ni kujidhalilisha na siku atakayoondoka united nitalewa pombe kwa furaha.
Wamejisahau wachezaji wetu second half mechi inaweza kuwa ngumu zaidi. Huyu Sanchez bora Gomez anaweza kufanya kitu asee halafu tunafungwaje nyumbani asee na unbeaten run yetu