Nakubaliana na weweMbona jamaa alicheza poa tuu. Kama ukiangalia game poa, the last 3 games sanchez amekua akicheza poa tu. Ofcozi ana improve to be fair.
Sent using Jamii Forums mobile app
No, tottenham ashinde , arsenal mechi ngumu ni hii.
Huyu mtoto yupo vizuri sana. Kuna game mwaka jana Chelsea tulimpiga 2 kwa 1 Tominay aliupiga mwingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati Pogba alkua analinganishwa na Hendo hahaahaView attachment 1034135
Ndani ya misimu miwili (uliopita na huu) kwenye PL, Pogs amemfunika De Bruyne vibaya!
Mchango wa nani kati yao umeleta makombe ndani ya hiyo misimu 2?View attachment 1034135
Ndani ya misimu miwili (uliopita na huu) kwenye PL, Pogs amemfunika De Bruyne vibaya!
Mchango wa nani kati yao umeleta makombe ndani ya hiyo misimu 2?
Timu inaundwa na mchezaji mmoja mmoja, mchango wa mchezaji mmoja mmoja ndio timu.Kuleta makombe ni mchango wa timu nzima mjomba, hapa tunaongelea wachezaji wawili wao kama wao!
Timu inaundwa na mchezaji mmoja mmoja, mchango wa mchezaji mmoja mmoja ndio timu.
Usimtetee pogba,mchango wake umekuwa useless.
Point yako ni ipi?Hapo tumefanya individual evaluations mambo mengine yakiwa costant.power of an individuals does not determine the power of a group mzee.Timu inaundwa na mchezaji mmoja mmoja, mchango wa mchezaji mmoja mmoja ndio timu.
Usimtetee pogba, mchango wake umekuwa useless.
Point yako ni ipi?Hapo tumefanya individual evaluations mambo mengine yakiwa costant.power of an individuals does not determine the power of a group mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Ederson ni bora kuliko Degea?Mchango wa nani kati yao umeleta makombe ndani ya hiyo misimu 2?
Umri.....Anaimprove lakin bado sio mchezaji tulie mnunua ss,jamaa anavuta mpunga mrefu kulko mchezaji yoyote PL yaani zaidi ya Pogba,Aguero,Hazard,De Bruyne,David Silva etc na wakati kiwango anachokionesha sahv hata Lingard hajamfikia. Jamaa sijui amepatwa na nn au ndo umri umeshamtupa mkono kama kina Rooney?
Bwana yule wa kujisifu na kujivuna....Mie nasikitika Manchester United hii ilikuwa sio ya kufikiria kugombania top 4 ila ilikuwa ya kugombania ubingwa ila bwana yule alituaminisha ata hiyo top 4 atustahili alituweka level moja na kina Everton Watford duh ilitutesa wee acha tu
Bwana yule ni shida sana...Mie nasikitika Manchester United hii ilikuwa sio ya kufikiria kugombania top 4 ila ilikuwa ya kugombania ubingwa ila bwana yule alituaminisha ata hiyo top 4 atustahili alituweka level moja na kina Everton Watford duh ilitutesa wee acha tu
Umri.....
Rooney alipofika 30 akaanza kushuka kimoja, leo anacheza bonanza league kwa Trump huko...
Hawa watu wameanza kucheza top level football wakiwa wadogo sana....mfano Rooney was 18 alipoingia United...For over 12 years amecheza top level European football it's not a joke...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli....Sema cha Ajabu mbna kina Giggys,Scholes,Ronaldo,Ashley Young,Valencia etc wameendelea kukiwasha tu top level pamoja na umri kusogea Sanchez ndo kwanza ana 30 sahv