Ndio maana timu iliyomuuza ilichekelea sana. Walimuuza kwa pesa kubwa wakati wakijua ni garasa.
Ila Wabrazil na Man U sijui wana nini aisee.
Yaan Wabrazil waliocheza Man U angalau kidogo ni Anderson na wale mapacha ila mwingine kuacha Fabio.
Lakini Kleberson alichemsha vibaya mno.