Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bila mechi ya Man U hupatu wateja tukiacha unafiki


Sent using Jamii Forums mobile app
Natania tu kiukweli ndio hivo

Hata mech za usiku za timu kama liverpool,chelsea bila lift ya mech ya man u,

Wenye vibanda umiza wanafunga mabanda, nimeshuhudia juz mech ya liver na bmouth ,

Bila kuwepo mech ya man u ilikuwa ile mech isiangaliwe maana ilikuwa hasara tupu,

Kwa leo mech zitakazooneshwa ni hiz

Chelsea vs spurz

Man u

Arsenal

Fullstop

Maana vibanda ving vina screen tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa leo kwa wamiliki wa vibanda umiza kuna mtihani mkubwa mnoo.
Watahitaji fimbo ya Musa ili wavuke.
Game ziko muda mmoja kama ana tv mbili anaonesha ipi???

C palace Vs man utd
Chelsea vs spurs
Arsenal vs bornemouth
Madrid vs Barcelona

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Copa del Rey inaoneshwa na king’amuzi gani?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yaan jamaa ndio maana amehisiwa mamluki, anawataja makocha ambao kaz zao ni kunusuru timu zisishuke daraja, yy anakwambia ndio wanafaa kuifundisha man u

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuu Kuna makocha wa aina tatu, wachukua ubingwa, mid table runners, na wanusuru timu isishuke daraja....
Mfano..Pochittino Ni kocha mzuri Sana lakini ila Kuna hesabu anazikosea kuweza chukua EPL, msimu wa ule Leicester City walichukua Spurs walikuwa ndio club imara na bora zaidi EPL, msimu huu anakikosi Cha kushindia EPL KABISA ila I bet mishoni lazima ataanza kupigania top 4, kwa uzoefu alionao EPL it's a shame kwake kushindwa na Ranieri,Conte, na Pep wakija nyuma yake EPL wakimuta akiwa na Spurs Bora kuanzia msimu wa 2014 bad enough hata makombe ya Carabao na FA nayo yamemshinda, hii it apply to Wenger alikuja kupoteza nanma ya kukokotoa ili achukuwe EPL but they all great Managers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaweza akapewa nafasi leo Fred mkuu... Ngoja tuone Aproch ya kocha
 
Pamoja na majeruhi mengi yanayoikabili timu yetu bado naamini leo inaweza kupata ushindi japokuwa palace ni timu ngumu hasa inapokuwa nyumbani.
 
hapa ndio unaona faida ya kuwa na kikosi kipana kama city pep
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…