I will take Claude Puel over solskjaer any time.man u yetu bado sana. tukipata kocha kama warnoc yule jamaa aliyefukuzwa huddlesfield atatufaa sana. Tukimkosa bora tumchukue yule Tony Pulis alikuwaga anainoa Stoke city na west brom.
Bila ivo man u itazidi kupotea. Sanchez tumpe muda.
GGMU
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unaogopa historia sababu ulichukua kombe early stone age?Umekosa swali lingine la kizushi? naona ngonjera nyingi na historia
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaSema lukaku tunamsema sana hadi tunajisahau kama jamaa anajua
Sent using simu mbovu
Mtapiga sana mark time, Looserfools hamna timu ya kuchukua kombe pale
Naona mmesonga mbele towards top 4 kutoka nafasi ya 4 had ya 5Mtapiga sana mark time, Looserfools hamna timu ya kuchukua kombe pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa.
Nafikiri mlikua hamshiriki enzi hizo au labda mlikatazwa msichukue nyieSawa.
Samahani lakini kwa kubishana na wewe maana najua wewe utakuwa age goo maana mashabiki wa Looserfools wengi ni wazee ambao miaka ya 1980's mlikuwa vijana kipindi hicho mnabeba ndondo cups
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi ujao tu mtakuja na ka kauli kenu kale, this was not our season..... We gonna win a title next season
Ligi daraja la kwanza?Nafikiri mlikua hamshiriki enzi hizo au labda mlikatazwa msichukue nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Points 4 umetupa tunashukuru sanaMwezi ujao tu mtakuja na ka kauli kenu kale, this was not our season..... We gonna win a title next season
Miaka inazidi kwenda hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
man u yetu bado sana. tukipata kocha kama warnoc yule jamaa aliyefukuzwa huddlesfield atatufaa sana. Tukimkosa bora tumchukue yule Tony Pulis alikuwaga anainoa Stoke city na west brom.
Bila ivo man u itazidi kupotea. Sanchez tumpe muda.
GGMU
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu uko serious au jokes Tony Pulis na huyo wa Huddles ndio aje kuinoa United hii?
Big Noooo, mpe OGS fungu aingie sokon kwakuwa anajua utamadun wa United, anaipenda United, then fans tumsapoti.
GGMU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila watu mko wabishi mpaka kero!!Alimradi tu kuonekana hamkubaliani na wengine. Hamasa nayo ni moja ya mbimu.wale wana mbinu mkuu, huyu OGS hana mbinu ana hamasa tu. Tatizo la michezo ya hamasa huwa kuna muda inakata mnaanza kutafuta mchawi. OGS na zinade hakuna kitu, bora ata claud puel
wale wana mbinu mkuu, huyu OGS hana mbinu ana hamasa tu. Tatizo la michezo ya hamasa huwa kuna muda inakata mnaanza kutafuta mchawi. OGS na zinade hakuna kitu, bora ata claud puel