Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Leo nitafurahi kama tutatumia mfumo tuliotumia dhidi ya chelsea, Mata acheze kumi. Pale mbele asimame Martial na Rashford.

4-3-1-2.
 
Leo ndio kipimo halisi cha hawa makocha wa kuokoteza okoteza mtaani, mwenzake Puel kisha fungashiwa vilago.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah. Nachokumbuka, tokea mwaka 2009 wakati OLE anapewa timu ya watoto kuwa kocha, nilihisi na hata wengi tu walihisi siku moja OLE atakuwa kocha was timu ya wakubwa. Hivyo, OLE hajaokotwa, bali amekuzwa kwa wakati Kama huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…