Timu yetu inavyocheza upande wa kulia unakuwa amna kitu kabisa..tungepata mtu sahihi hili eneo tungekuwa hatari sana kule mbele..Kweli kabsa sema ma winger world class siku hizi kuwapata ni ishu aisee, wengi bado watoto, nilisikia Douglas Costa anataka asepe Juve sasa sijui kama ni kweli ila naona kama tukimpata mtu kama yule tutatisha...maana ukiangalia UTD mashambulizi yetu mengi yanatokea upande wa Martial (kushoto) sasa akija Costa tutakuwa shambulia pande zote mbili vzuri.
Timu yetu inavyocheza upande wa kulia unakuwa amna kitu kabisa..tungepata mtu sahihi hili eneo tungekuwa hatari sana kule mbele..
United Fan
Sure,angalia timu kama Man city..Bernado silva yupo kulia na sterling kushoto..timu inawavuta mabeki pande zote na balance inakuwa poa sana na unpredictable..sisi kutacheza upande wa Martial tu muda mwingiKabsa, shida ni kwamba mara nyingi huwa tunamuweka Mata au Lingard nafasi hio, wachezaji ambao kiuhalisia sio mawinger wote wanafaa zaidi wakicheza kama n.o 10, nadhani ndo maana kuna kipindi Mo alikuwa anamtaka Perisic..
Inawezekana kwa Marcus kucheza kulia, huku Sanchez au Lukaku akawa central striker.Sure,angalia timu kama Man city..Bernado silva yupo kulia na sterling kushoto..timu inawavuta mabeki pande zote na balance inakuwa poa sana na unpredictable..sisi kutacheza upande wa Martial tu muda mwingi
United Fan
Utawapangaje wachezaji ambao hawaperform i.e Sanchez na Lukaku..na kuwategemea??Inawezekana kwa Marcus kucheza kulia, huku Sanchez au Lukaku akawa central striker.
Nimetoa option kwa mazingira ya sasaUtawapangaje wachezaji ambao hawaperform i.e Sanchez na Lukaku..na kuwategemea??
Solution ni moja tu,,kuingia sokoni..navyoona mimi
United Fan
WONDERS WILL NEVER END, Kila mtu anamuweka bench LukagoalsLingard anaanza..Sanchez hajaonyesha sababu yoyote ya yeye kuanza game hii TBH...ila pia Lingard sio kwamba ni best kihivyo,ila muunganiko wao kule mbele umeonyesha kitu kwenye mechi nyingi chini ya OGS
Martial Rashford Lingard ..hii lineup mimi ndo naona ni ya kwanza kwenye kichwa cha OGS
My Lineup
De Gea
Young Bailly Lindelof Shaw
Herrera Matic Pogba
Lingard Rashford Martial
United Fan
Leo pale nyuma Damian lazima apangwe.
Unaongea serious au unatania mkuu??Leo pale nyuma Damian lazima apangwe.
ilituchukua miaka miwili na nusu pamoja na kocha mpya kupata kikosi cha kwanzaLingard anaanza..Sanchez hajaonyesha sababu yoyote ya yeye kuanza game hii TBH...ila pia Lingard sio kwamba ni best kihivyo,ila muunganiko wao kule mbele umeonyesha kitu kwenye mechi nyingi chini ya OGS
Martial Rashford Lingard ..hii lineup mimi ndo naona ni ya kwanza kwenye kichwa cha OGS
My Lineup
De Gea
Young Bailly Lindelof Shaw
Herrera Matic Pogba
Lingard Rashford Martial
United Fan
Nakubaliana na wewe asilimia zote mkuu, mimi hilo jambo nilikuwa nishalinote muda mrefu sema ishu ni kwamba yeye mwenyewe hataki huo ucaptain sasa sijui kwann ila anafaa kabsa maana anapassion kuliko mchezaji yoyote tulienae nadhani!
But not today!... Bolton had your number today...🙂