Ndio hivyoPep kapewa fungu zuri na kafanya kweli..timu inashambulia kama nyuki vile..
United Fan
Aiseeeee
Wewe chelsita weka msimamo tuoneNani anashika nafasi ya sita?
Iyo nafasi ni ya watu.
Leo mpka saa tatu utakuwa nafasi ya tano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alinunua vipaji? Alinunua ready made players. Na bado kuna baadhi ya wachezaji alionunua wali flopMim napingana na wew.pep alipewa pesa akanunua vipaji .....kumbuka jose kapewa pesa nyingi tu lakini akaleta watu kama lukaku
Alinunua vipaji? Alinunua ready made players. Na bado kuna baadhi ya wachezaji alionunua wali flop
Ederson, Claudio Bravo (amenunuliwa baada ya ku flop akaondolewa)
Mendy, Danilo, Walker, Johnstone, Laporte,
Silva Bernardo, Nolito (amenunuliwa na Pep baada ya ku flop akaondolewa), Jesus, Sane, Mahrez,
Kiufupi United hataweza ku compete na akina City, Madrid, Barca, Juve, Bayern kwenye soka kama haitawekeza kwenye kununua wachezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Lukaku sio mchezaji mbaya kama unavyomuandika pia anaweza kutumika as backup striker angalia statistics za backup striker wa Man City,Spurs,Arsenal na Liverpool then walinganishe na LukakuKuna kununua wachezaji na kununua vipaji.....hata kama pep alinunua ready made players lakini ni full of talents....angalia bernado silva.laporte.mendy.gundogan.....halafu angalia wachezaj aliochokua jose.......jose alipewa pesa akatumia kununua wakina lukaku..
Hata ningekua mimi ndo bosi nisingeweza kumpa tena fungu..
Ollachuga Oc bado yuko hai ?Jamani nimekuja kwenu kwa nia njema. Naombeni ushauri wenu kwa sababu nyinyi ni wazoefu wa VIPIGO HEAVY. Mliwezaje kuhimili haya matokeo jamani mbona mimi inanishinda, mpaka sasa sijaamka, nimeshatoa toa sababu mvua kubwa inanyesha ivyo nitachelewa kufika. Lakini kabla sijatoka naombeni ushauri nyie mliozoea vipigo heavy mlifanya nini kukabiliana na hii hali. Nisaidieni wazoefu ngoja niende na jukwaa la Gunners kwa wazoefu wenzenu.
Japo ni mpira ila kijiweni leo hakutakalika kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa na ishu kubwa mm nilikua napinga hoja ya kuwa jose alibaniwa pesa.Lukaku sio mchezaji mbaya kama unavyomuandika pia anaweza kutumika as backup striker angalia statistics za backup striker wa Man City,Spurs,Arsenal na Liverpool then walinganishe na Lukaku
Then mbona huwataji kina Lindelof,Bailly,Pogba ambao pia walinunuliwa na Mourinho.
Ndugu mkongwe uliwezaje kuhimili matokeo ya namna hii.?Ollachuga Oc bado yuko hai ?
Lukaku si mbovu kama unavyotaka kutuaminisha. Bado Lukaku ni mchezaji mzuriKuna kununua wachezaji na kununua vipaji.....hata kama pep alinunua ready made players lakini ni full of talents....angalia bernado silva.laporte.mendy.gundogan.....halafu angalia wachezaj aliochokua jose.......jose alipewa pesa akatumia kununua wakina lukaku..
Hata ningekua mimi ndo bosi nisingeweza kumpa tena fungu..
Mkuu umegusa mule muleLukaku sio mchezaji mbaya kama unavyomuandika pia anaweza kutumika as backup striker angalia statistics za backup striker wa Man City,Spurs,Arsenal na Liverpool then walinganishe na Lukaku
Then mbona huwataji kina Lindelof,Bailly,Pogba ambao pia walinunuliwa na Mourinho.
Yaani leo ndo nimegundua kuwa hata sane jana hakuchezaNdio hivyo
Pale United tunahitaji angalau watu 4 summer ambao ni world class ili tuwe at per na City
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha..... Hatari sana wale watuYaani leo ndo nimegundua kuwa hata sane jana hakucheza
United Fan
Halafu hoja ya msingi si José apewe hela (sababu hayupo) lakini hoja yake bado ina hold. Fedha inabidi itolewe ili kuboresha kikosi, na Glazer siblings waache ubahili
Apatikane Sporting Director kwanzaKwa mtizamo wangu mi sidhani kama Glazers ni wabahili sema tu kabla ya kutoa hela inabdi wapate coach wanaemuamini anaetupeleka sehemu sahihi mfano Jose alivyokuja mbna alipewa mpunga wa kutosha tu, Lukaku tumemchukua kwa 75,Pogba 85,Matic 40,Fred 52,Bailly na Lindelof 65 mpka hapo ni Mil 300 na ushee utasemaje Glazers ni wabahili?Baadae walivyoshindwa kumuamini ndo wakawa wanambania...ila Akija mtu kama Pochetinno atapewa mpunga wa hatari.
Apatikane Sporting Director kwanza
First of all inabidi ufahamu how much profits club imegenerate since Glazers wanaimiliki na how much wame-invest back kununua players.Unakumbuka Woodward alishawahi kusema financial United ina uwezo wa kununua mchezaji yeyote watakayemtaka.Kwa mtizamo wangu mi sidhani kama Glazers ni wabahili sema tu kabla ya kutoa hela inabdi wapate coach wanaemuamini anaetupeleka sehemu sahihi mfano Jose alivyokuja mbna alipewa mpunga wa kutosha tu, Lukaku tumemchukua kwa 75,Pogba 85,Matic 40,Fred 52,Bailly na Lindelof 65 mpka hapo ni Mil 300 na ushee utasemaje Glazers ni wabahili?Baadae walivyoshindwa kumuamini ndo wakawa wanambania...ila Akija mtu kama Pochetinno atapewa mpunga wa hatari.
First of all inabidi ufahamu how much profits club imegenerate since Glazers wanaimiliki na how much wame-invest back kununua players.Unakumbuka Woodward alishawahi kusema financial United ina uwezo wa kununua mchezaji yeyote watakayemtaka.
Kipindi ambacho United wametumia £300m timu kama Chelsea,Barca,PSG,Juventua,Man City na Liverpool zimetumia kiasi zaidi ya hizo £300m na United ndio klabu inayo-gerenate fedha nyingi ukilinganisha na hizo timu zote nilizotaja