huyoo ndie webb
Torres naona kachoka ki ukweli wadau!anaruka ruka ru!
thanks jones..
Hii habari ilitakiwa ipelekwe kwa vitoto na vijinga facebook.
Bila kujali matokeo yatakuwaje, kwa moyo wangu wote nawaombea mabaya utd! Nyie si mashetani?! Mshindwe, mlegee, na mnyong'onyee kabisa...haahaahaaa!!
6 - 4 goal attempt chel5ea wanaongoza..