Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyo Chong kupata namba kikosi cha kwanza cha Man Utd asahau..!
Next season wamtoe kwa mkopo tu..!
Uwezekano wa kupata namba upo ndio maana amesafiri naye

Kumbuka Mourinho alienda naye pre season USA

OGS ameenda naye Dubai

Na amecheza FA game ya Reading. Tena aliingizwa wakati game bado ni tight japo tulikwa tunaongoza goli 2

Pia inasemekana, OGS amegoma kuwatoa kwa mkopo yeye na Gomes January

Kwahiyo inaonesha dogo yupo kwenye mipango ya club na kocha wa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo watu anaogombea nao namba sio wepesi kaka,pia bado wana umri mdogo...
Anyways,time will tell Broh..!
 

Post nzuri sema nahisi kuna vitu unachanganya mkuu..ngoja nijibu kwa uelewa wangu

1. Ametoa maoni yake kama Kocha/Manager wa Phil Jones.

2. Sidhani Kama kahusika cause hiyo sio kazi yake.

3.Story yoyote kuhusu United inamuhusu cause yeye ndo Manager/Head coach wa Club,hvyo kuliongelea jambo la mkataba wa mchezaji wake sio kosa hata kama hajahusika kwenye mazungumzo ya mkataba wa mchezaji. yeye katoa maoni yake tu.

4.Huwezi mfananisha Valencia na Jones kwanza wanatofatutiana Umri,Pili hata nafasi wanazocheza, Centre half anaweza cheza hata akiwa mtu mzima ila kwa full beki sio kitu rahisi.

5.Hivyo vitu havihusiani,hayo ni maoni yake tu.

6.Kupewa mkataba mpya haina maana kwamba huwezi uzwa mzee

7.Man Utd ni ipo Top 3 ya club tajiri duniani hata Messi uwezo wa kumsajili tunao

8.Hapana sio kweli, Director of Football kazi yake inahusiana na mambo yote ya usajili katika club na Maendeleo ya Academy ya watoto, hvyo akija hyo ndo itakuwa kazi yake na sio Woodward,sababu kwanza Woodward ni Mfanyabiashara tu sio mwana michezo na ndo maana mashabiki wengi wangependa DoF aje, maana wengi wanakuwa ni watu wanaoelewa soccer na Biashara vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…