nilichokiona kwa Lingard second half ni kumpa shida Herrera na Young si hiko ulichosema maybe tuliona kwa angle tofauti.....sijakupinga ni mtazamo wangu tuKimsingi alkua anablock wapinzani zaidi,Ingawa alijisahau kushambulia hii imefanya aonekane mzinguaji ila amefanya kazi nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kikosi kizima kilikua tired sijui kwanininilichokiona kwa Lingard second half ni kumpa shida Herrera na Young si hiko ulichosema maybe tuliona kwa angle tofauti.....sijakupinga ni mtazamo wangu tu
Mambo yakikubali lazima uwaze zaidiMna maringo sana nyie jamaa, yaani hata top 4 bado mnawaza namba ya Man City!
Leicester sio Timu ya kubeza
Kila nikiikumbuka ile mechi bora ya msimu uliopita huwa najiuliza wale city tuliwapigaje comeback mpaka ile game kuchaguliwa kuwa mechi bora ya msimuArsenal alitaka kucheza kama city. City wanahitaji kuwapeleka puta kwa soka la kasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado kunaTembo yupo kileleni huyo haitajiki wala kutikisa mti upepo unatosha kumrudisha mahali pakeKila timu inarudi nafasi yake taratibu taratibu
Game plan ilikubali pia Darby nyingi hazitabirikiKila nikiikumbuka ile mechi bora ya msimu uliopita huwa najiuliza wale city tuliwapigaje comeback mpaka ile game kuchaguliwa kuwa mechi bora ya msimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikiikumbuka ile mechi bora ya msimu uliopita huwa najiuliza wale city tuliwapigaje comeback mpaka ile game kuchaguliwa kuwa mechi bora ya msimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana yake halafu nilikua kijiji naiangalia aiseee iyo sehemu niliyopo sikutegemea kama ningekuta dstv........teknolojia nuksi sana
Ukicheza na United inabidi ujue its not over until its over, hata kama tunacheza vibaya huwa tunaweza kufanya comeback any time. Hata Juventus hawakuamini kwenye makundi.Kila nikiikumbuka ile mechi bora ya msimu uliopita huwa najiuliza wale city tuliwapigaje comeback mpaka ile game kuchaguliwa kuwa mechi bora ya msimu
Sent using Jamii Forums mobile app