Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Shukrani sana mkuu nadhani hatutofautiani sana kimawazo, akipatikana director of football bora basi team hakika utafanya development kubwa kwa misimu mitatu ijayo tungojee tuone hatma ya suala hili la director of football inaishia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks for the memories Fellaini

1. United vs Cristal Palace, May 2015
Goli la big Fella liliihakikishia Man United kucheza UCL katika msimu uliofuata

2. United vs Everton, April 2016
Goli la Big Fella liliitoa timu yake ya zamani katika nusu fainali ya FA na United walipata fursa ya kushinda kombe la kwanza tangu SAF aondoke United katika fainali ya FA mwaka huo

3. United vs Hull City, January 2017
Big Fella alifunga goli katika nusu fainali na hilo goli liliivusha United hatua ya nusu fainali na kufika fainali ambayo United alifanikiwa kuchukua kombe la Ligi ambalo lilikuwa ni kombe la pili katika zama za post SAF

4. United vs Celta Vigo, April 2017
Hii ni nusu fainali iliyodhihirisha kwamba Big Fella akifunga goli la ushindi katika Semi final lazima United achukue kombe husika. Goli muhimu lilichangia United kuchukua kombe la Europa ambalo United hawakuwahi kulibeba miaka ya nyuma.

5. United vs Arsenal, May 2018
Maruane alimuhakikishia Wenger kama kocha wa Arsenal kichapo katika mechi yake ya mwisho pale OT. Not a bad way to say goodbye to Mr. Wenger?

6. United vs Young Boys, Novemba 2018
Goli muhimu lililoivusha United kwenda hatua ya mtoano. Goli hili liliifanya United isitegemee mechi ya mwisho (ambayo United alipigwa na Valencia) ili kuvuka hatua ya makundi.

Japo aligawanya mtazamo wa mashabiki kuhusu uwepo katika club ya United, lakini naamini big Fella alikuwa ni kisu kilichookoa maisha ya komando pindi bunduki yake ilipoishiwa risasi.

THANKS BIG FELLA, BEST LUCK HUKO UENDAKO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uncle Gonzalo Higuain 65 minutes against ORDINARY BOURNEMOUTH

0 shot on target

0 dribbles

0 key Passes

20 bottles water sucked

100 misplaced passes

200 sneezing

Perfect replacement for ALVARO MORATA
 
kesho ni must win game ,


And please City shinda mechi hizo mbili (vs arsenal &Chelsea), halafu sisi tutafanya kitu Feb 24(vs Liverpool).

'Nina wasiwasi na huyu city kwenye hizi mechi mbili, Mara huyo kapigwa na arsenal.'

ANYWAY hebu tushinde mechi zetu kwanza. Let's go OLE's ARMY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…