Kuna watu walitamani sana mpira uishe mbili bila,roho zimewauma kweli.
Ole amekosea sana kutokumuanzisha Lingard na Herrera,sijui kama atarudia tena!
Pereira anapenda sana kuchezea mpira na anajiamini ila nguvu hana na alicheza na mpira sehemu mbaya.