Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama vipi hili kombe watupe tuu, kwani awamu hii ya Ole Gunnar hakuna kufungwa wala kutoka sare

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajua mpira ni magoli lakini msijidanganye kuwa mpo vizuri. Mvua za kiangazi zikikatika mtakuja kutafutana kwa mara nyingine. Nimeangalia kwa kuibia but wapenzi wenu (wanaoujua sio hawa wa JF) wanasema tofauti ilikuwa nyie kuwa clinical na Arsenal kuwa butu middle na mbele.
 
Huo utofauti mdogo ndio unaoleta ubingwa wa uefa,league,fa,na carabao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ngapi ngapi mkuu?
 
Mnapenda sana hizi Ibada za sanamu, United inasonga mbele, haitakaa ikutwe na Ibada zenu hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…