Manchester United (Red Devils) | Special Thread

PSG kapiga mtu leo 9-0 .

Man U jipangeni atleast mkipigwa 6-0 sio mbaya
 
Hivi mashabiki wenzangu wa united mnamuonaje martial??
Ujue mpaka leo mimi nampa nafasi anionyeshe kuwa naweza kuwa mshabiki wake wa kudumu halafu nashindwa??!!
Naona kama ni mchezaji ambae sio type yetu kabisa!!! Hana ari, hana morari, sio mpambanaji, hatafuti kwa hali na mali, yani ye ni mpaka ikitokea basi sawa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi ananipa hard time sana..too soft and slopy,ari yake ipo chini..hana ule upambanaji wa kutaka kuwa juu,ni kama vile ameridhika na alipo..kwa hali hii akiendelea nayo sidhani kama timu yetu itakuwa inahitaji uwepo wake..tunataka watu wakuset rythm kule mbele na sio watu wakucheza too soft, and too slopy..

Kuna mtu nilikuwa nabishana naye akasema kuwa ni Personality yake..yani vile tunavyomuona ndivo alivyo..Nilibishana naye sana

Mimi nachoona ni hana ari binafsi..Talent wise anamzidi Rashford ila rashford anajituma sana uwanjani.

This boy need to change..la sivyo sioni nafasi yake pale OT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana kauvivu flani hivi. Apamban kule mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soon akitokea wa kum replace. Ataaanzia bench kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Martial mi mwenyewe simuelewi kabisa rashford kila uchwao anakuja na kitu kipya lakini yeye kimyaa ndo mana tunafuta mshambuliaji mwingine wa kutokea pambeni
 
Yule chelsea nae katuzidi 3 mpira una maajabu sana wale sari ball hawana hamu.

Jana Arsenal kushinda imefanya nafasi ya 3 na 4 kuwa open kwa yeyote kati ya Tottenham, Arsenal, Chelsea na Man Utd.

Na kwa trend nayoiona ni kama Man Utd ana advantage kidogo, maana yeye anapanda wenzake wanashuka au wako palepale. Hizi game 6 za EPL zimewapa boost ya nguvu sana.
 
Kabisa mkuu pia mi naona kama mechi ya spurs upikuwa ndo ufunguo wa kuanza kupigania top 4 hapa ina maana zile timu zilizopo top 5 kwa sasa tuna uhakika wa kuzibutua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…