Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu inahitaji beki nzuri, kwenye 4 na 5 mkipata partnership nzuri mtasumbua sana msimu ujao.

Ashley Young pia umri umeenda, succession plan inahitajika.
Hata namba 10 wa maana lingard simuoni kama mbunifu tunamchezaj mmoja tu mbunifu ni pogba vipi akiumwa? Means timu itakuwa haina ubunifu vyanzo vya ndani vinasema mata hana kasi solskjaer hamwamini sana kwa hiyo tuna pogba tu.
 
Tulicheza na timu imara mno kwa Sasa, Kati yetu na Tot, tot walikuwa wazuri zaidi yetu Dimbani, walituzidi kila Idara pale Wembely Kasoro Nafasi ya kipa tu bahati tu haikuwa yao.

Ni Kweli kikosi Chetu bado Sio imara Kama vilivyo vikosi vya Chelsea, Liver na Man City.

Lakini kuna mabadiliko tunayaona kuelekea kuwa imara kabla ya kukutana na PSG tutakuwa katika Nafasi Nzuri kiuimara.

Pana makosa machache tunayafanya lakini ni kutokana na transformation tunayopitia.

Mwalimu Ole anasema atafanya usajili mkubwa Katika Dirisha la usajili la Julai kwa Sasa anaamini Katika wachezaji waliopo na uwezo wao.

Nami binafsi naamini bado kuna vitu vingi vinakuja kutoka kwa Ole na bench lake la Ufundi.

Kikubwa wanachokifanya Sasa ni kuwajenga wachezaji mmoja mmoja, Ila kila mchezaji aonyeshe uwezo wake na kipaji chake uwanjani.

Bado tunawadai wakina Pogba, Sanchez na Martial.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…