Hilo ni swali wala sio maono?NATAMANI KUWAAMBIA KUWA LEO USIKU NIMEKULA WALI KUKU ILA NAONA AIBU, WALE AMBAO VYUMA VIMEKAZA WATANIONA MPIGA DEALS BURE
SASA NGOJA NIJIKITE KWENYE KUCHANGIA HOJA, MIMI NINA MAONO AMBAYO HUENDA YAKAJA KUWA KWELI....... ...........JE KUNA CONNECTION YOYOTE YA MAFANIKIO YA ZIZZOU ALIYOYAPATA PALE MADRID NA ATAKAYOPATA OGS NDANI YA MAN U?? HAYO NDIO MAONO YANGU
----------------------
Belgium ni timu yenye wachezaji wazuri tu lakini si timu kubwaAkiwa Belgium ni team ndogo? mbona ndio top scorer wa team ya taifa
Ulimuona hiyo match huyo Lingard wako?
Chelsea huwa wanamfanya Mane acheze kama Full back licha ya uwezo ule wa Sadio Mane halafu umtegemee Lingard akupindulie meza versus Chelsea ya Sarri
Nimejaribu kuitafuta ArsenalMsimamo waLigi baada ya Ole Gunnar kuja UnitedView attachment 994772
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha special one wala nn. Jose alikuwa na kazi moja tu ku play attacking football. Attacking ndio philosophy ya man united toka enzi.Kosa kubwa iliolifanya Man U ni kumfukuza The special one MOU.
Huu upepo mnapopitia nawaapia baada ya gane ya PSG tutarud hapa kuweka matanga upya na soon ile kampen yetu ya OLE-OUT itaanza rasmi.
Hongeren kwa ushindi mwembamba dhidi ya team nyepesi inayochipukia kama spurs, pia mshukurun sana De gea.
Pole sana. Man u ina change. Wait msimu ujao. Huu ni mwanzo tuHii sio team bali ni pango la wahuni.
Man U ilikuwa zaman
Wabongo bana... [emoji23][emoji23]Hilo ni swali wala sio maono?
Jibu:
OGS anamtegemea sana Fergusson, akilazwa tena hospitalini basi hana wa kumtegemea. Take my word, OGS hatawaweza mikiki mikiki na misifa na utoto wa akina Pogba na wale watoto wanaoendelea kukua, yaani akina rashford na wenzake
Naona bado hamjaacha mfumo wenu wa kujenga timu kumzunguka degea! Onyo mechi ya marudiano mkija na huo mfumo tena mtakula zaidi ya first round
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu zipi za msingi halafu yule sio kocha bado ameteuliwa kwa mda tu sasa ole out itoke wapi?.Nawakumbusha tu bado siku chache tuanzishe kama ka slogan ketu ka OLE OUT.
Utangoja sana . Hii ni new revolutionNawakumbusha tu bado siku chache tuanzishe kama ka slogan ketu ka OLE OUT.
Man united inakutesa sa aNawakumbusha tu bado siku chache tuanzishe kama ka slogan ketu ka OLE OUT.
Na kwa nini iwe hivyo? Mourinho na mpira wake kakaa miaka miwili iwe huyu mtoto wa nyumbaniNawakumbusha tu bado siku chache tuanzishe kama ka slogan ketu ka OLE OUT.
Ruksa huna sababu ya kukumbusha kwa sababu haituhusuNawakumbusha tu bado siku chache tuanzishe kama ka slogan ketu ka OLE OUT.