Mkuu City Leo waki Draw au Kufungwa siwaoni Kushinda kwa Fulham Game Mbele ya kina Dempsey Tatizo la City hawajawahi kufikia sehemu kama hizi za Presha ya Mind game kuanzia magazeti Presha ya kusema wanaonewa hawaiwezi kabisa japo kuwa nyie ndio wapinzani wangu wa Jadi kwa KOP United Leo wakiweza 3point na City wakidondosha United Bingwa hasa game ya City Vs Fulham.