Manchester United (Red Devils) | Special Thread

You may be right
Lkn nakuwa na dauti sana nimejaribu kuangalia
composition yake kwenye game anazocheza kiukweli sifurahii kabisa mchezo wake
Maybe he can change his game in the coming days ila sidhani kama atatupatia kile kilichosemwa na media


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kwa asiyefatilia mpira alaf akaona jinsi media zilivyokuwa zinaongelea usajili wa Sanchez kutoka Arsenal kuja Man U. Akaangalia na mshahara na marupurupu anayopewa. Akipata nafasi ya kuona mechi zote alizocheza tokea aje, atasema he was overrated. Ila wote tunaofatilia mpira tunakijua kiwango cha Sanchez.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dirisha dogo City kumtaka Fred haikuwa siri, ulikuwa ni mpango wa kutafuta mrithi wa Fernandinho ambaye anaelekea mwishoni

Kuna machapisho mengi tu yaliyo report kiu ya Pep kumnunua Fred au Jorginho na hayo machapisho ndio yamekuwa source of information kwangu na kwako na kwa wengine so kubishia hayo machapisho kama ya Sky Sports, BBC, Manchester Evening News kwakuwa tu uhamisho haukufanikiwa ni kupoteza muda

Haya tuache City kumtaka, vipi kuhusu United ambao ma scouts wake almost msimu mzima walikuwa wanafuatilia maendeleo yake kwenye mechi alizocheza na mwisho wa siku wakashauri United wamnunue,je nao walipotoshwa na propaganda za agent wake?

Isitoshe mwaka jana akiwa Shaktar alicheza kwenye game ya UEFA dhidi ya City na alionesha uwezo mkubwa tu kwenye hatua ya makundi kwahiyo hakuna kwenye mashaka juu ya uwezo wake kabla hajaja United

Vipi kuhusu kocha wa National Team ya Brazil Tite, naye anapotoshwa na nani kuhusu kiwango cha Fred? Maana kabla ya Fred kuja United, Fred hajawahi kuachwa kuitwa na Tite National Team. Kumbuka hiyo timu ya Taifa ndio ina akina Fabinho wa Liverpool ambao walikuwa hawaitwi lakini Fred anaitwa.

Nakubaliana na wewe kuhusu uduni wa kiwango chake kwa sasa pale United, ni kweli anapoteza mipira sana na hana decisions nzuri na za haraka. Lakini anastahili kupewa muda.

Fred amekuja United kwa sababu, na hiyo sababu ndio inatufanya tunaendelea kuwa patient ili hiyo sababu ijidhihirishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Mkuu kati ya wachezaji ambao wanahitaji support ya mashabiki ni wale wenye viwango vilivyoshuka. muda ni rafiki anaweza kurudi kwenye hali yake pamoja na wengine ili waweze kuisaidia team

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Lukaku hata akitokea upande wa baa hana effect yoyote. Mou alituingiza chaka, bora tungemnunua tomasi ulimwengu sio uyo kitambi mchuchumio
 
Kweli Mkuu kati ya wachezaji ambao wanahitaji support ya mashabiki ni wale wenye viwango vilivyoshuka. muda ni rafiki anaweza kurudi kwenye hali yake pamoja na wengine ili waweze kuisaidia team

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa kaka

Unajua shida ni kwamba kuna watu huwa hawana patient kabisa

Watu wanataka kuona mabadiliko ya papo kwa papo, kumbe kuna wachezaji wengine wana cope taratibu na mabadiliko ya ligi





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tot anakufa 3


Piga ua Utd hakuna Ubavu wa kupata goli tatu Wembley, mmejitahidi sana 2

Na Tottenham lazima achafue Clean Sheet, so ushindi mkishinda 2-1 na nadhani Martial ndio anafunga pamoja na Mata au Pogba
 
Sanchez hata kama hayupo kwenye fomu yake huwez kumlinganisha na Fred mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pep akimtaka jojinyo mkuu kuhusu fred sio kweli

Ushawahi kumuona fred anacheza kwenye mechi za muhimu za Brazil? Ukiacha zile za mabonanza?

Mascouts wa united sahivi wa kisenge sana wanatuletea wachezaji chini ya kiwango

Nakukumbusha tu hata magazeti ya udaku ya uingereza hutumiwa na ma ajent kumvalue mchezaji wao-

Pep hajawahi kumtaka fred nitakukatalia mpaka kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sanchez akicheza timu itakaa nyuma sana .ila wakianza wale watoto pale mbele basi timu itakua inakua mbele muda mwingi na vyanzo vingi vinaonesha wataanza kwaio sioni sehemu spurs akitoka leo
 
Kabisa kaka

Unajua shida ni kwamba kuna watu huwa hawana patient kabisa

Watu wanataka kuona mabadiliko ya papo kwa papo, kumbe kuna wachezaji wengine wana cope taratibu na mabadiliko ya ligi





Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na nyie mnaparurana kama mashabiki wa Arsenane, majogoo,Man city, Chelshit, Tots.
Ushabiki kazi. Napita tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…